Featured Kitaifa

SPIKA DKT. TULIA ASHIRIKI MSIBA WA MAMA MZAZI WA MHE. AYSHAROSE MATEMBE MKOANI SINGIDA

Written by mzalendoeditor

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akisalimiana na Waheshimiwa Wabunge, Viongozi wa Serikali pamoja na Chama cha Mapinduzi wakati alipowasili katika msiba wa Mama Mzazi wa Mbunge wa Viti Maalum. Mhe. Aysharose Matembe uliofanyika leo tarehe 24 Oktoba, 2022 nyumbani kwake Singida Mjini.

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akisaini kitabu cha maombolezo wakati wa msiba wa Mama Mzazi wa Mbunge wa Viti Maalum. Mhe. Aysharose Matembe uliofanyika leo tarehe 24 Oktoba, 2022 nyumbani kwake Singida Mjini.

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akimfariji Mbunge wa Viti Maalum. Mhe. Aysharose Matembe wakati wa msiba wa Mama Mzazi uliofanyika leo tarehe 24 Oktoba, 2022 nyumbani kwake Singida Mjini.

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akishiriki katika msiba wa Mama Mzazi wa Mbunge wa Viti Maalum. Mhe. Aysharose Matembe (kulia kwake) uliofanyika leo tarehe 24 Oktoba, 2022 nyumbani kwake Singida Mjini.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

About the author

mzalendoeditor