Featured Kitaifa

MWENYEKITI WA CCM NA RAIS SAMIA AFANYA ZIARA FUPI OFISI ZA CCM MKOA WA KIGOMA

Written by mzalendoeditor

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akipokewa na viongozi wa Chama alipowasili katika Ofisi za CCM Mkoa wa Kigoma akiwa ziarani mkoani humo.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akitia saini kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika Ofisi za CCM Mkoa wa Kigoma akiwa ziarani mkoani humo.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Akizungumza na Kamati ya Siasa Mkoa wa Kigoma alipofanya ziara fupi ofisi za CCM mkoani humo

About the author

mzalendoeditor