Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA KABINGO-KIBONDO-KASULU -MANYOVU(KM 260.6),

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi wengine wakati akivuta kitambaa kuashiria uzinduzi wa Majengo mapya ya chuo cha Ualimu Kabanga, kilichopo Kasulu Mkoani Kigoma tarehe 17 Oktoba, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi wengine wakati akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Majengo mapya ya chuo cha Ualimu Kabanga, kilichopo Kasulu Mkoani Kigoma tarehe 17 Oktoba, 2022.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akibonyeza Kitufe kuashiria kuzima Majenereta na kuzindua umeme wa Gridi ya Taifa kwa Mkoa wa Kigoma kwenye hafla iliyofanyika Kasulu Mjini tarehe 17 Oktoba, 2022. 

Viongozi mbalimbali waliohudhuria Sherehe za uwekaji wa jiwe la Msingi mradi wa Ujenzi wa barabara ya Kabingo-Kibondo-Kasulu-Manyovu (km 260.6) katika Sherehe zilizofanyika Kasulu mjini Mkoani Kigoma. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa pamoja na viongozi wengine wakati akivuta kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi mradi wa Ujenzi wa barabara ya Kabingo-Kibondo-Kasulu -Manyovu(km 260.6) katika Sherehe zilizofanyika Kasulu mjini Mkoani tarehe 17 Oktoba, 2022.Kigoma .

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi na Wafanyakazi wa Tanesco mara baada ya kuzima Majenereta na kuzindua umeme wa Gridi ya Taifa kwa Mkoa wa Kigoma kwenye hafla iliyofanyika Kasulu tarehe 17 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na viongozi wengine akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa Jengo la Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma tarehe 17 Oktoba 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi Buhigwe baada ya kufunguwa Jengo la Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma tarehe 17 Oktoba 2022.

About the author

mzalendoeditor