Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua maendeleo ya ujenzi wa daraja la JPM, Kigongo – Busisi mkoani Mwanza,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa daraja la JPM, Kigongo – Busisi mkoani Mwanza, Oktoba 16, 2022. Kulia ni Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya na kulia kwa Waziri Mkuu ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima.
Muonekano wa maendeleo ya ujenzi wa daraja la JPM, Kigongo -Busisi Mkoani Mwanza ambalo Waziri Mkui, Kassim Majaliwa alikagua ujenzi wake
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa daraja la JPM, Kigongo – Busisi mkoani Mwanza, Oktoba 16, 2022. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima.
Muonekano wa maendeleo ya ujenzi wa daraja la JPM, Kigongo -Busisi Mkoani Mwanza ambalo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua ujenzi wake,
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)