Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

aresbet

betcool

avrupabet

vipslot

betcool

realbahis

betmarino

gameofbet

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

marsbahis

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

coinbar

grandpashabet

grandpashabet

betpark giriş

betpark

betpark güncel giriş

porno izle

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

marsbahis güncel giriş 2026

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

pashagamingg

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

Madridbet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

betasus

meritbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betpark

bets10

jojobet

holiganbet

sweet bonanza

mavibet

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

mavibet giriş

betlike giriş

coinbar

coinbar

artemisbet

mavibet

artemisbet giriş

mavibet

artemisbet giriş

betlike

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark giriş

bets10 sorunsuz giriş

dinamobet

casibom

casibom

ultrabet

casibom

casibom

casibom

grandpashabet

ultrabet

grandpashabet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

ikimisli

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

imajbet

imajbet

holiganbet

Featured Kitaifa

SERIKALI YATOA BILI 2 UPANUZI WA BARABARA ENEO LA INYALA

Written by Alex Sonna

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa (kulia), akitoa maelekezo kwa Mkurugenzi wa Barabara wa Sekta ya Ujenzi, Eng. Aloyce Matei (katikati) na Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Mbeya, Eng. Matari Masige (kushoto) mara baada kukagua hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa barabara kuu iendayo Zambia (TANZAM Highway) eneo la Inyala, Mkoani Mbeya.

……………………………….

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amemuagiza Katibu Mkuu wa Ujenzi,  Balozi Aisha Amour, kupeleka kiasi cha shilingi Bilioni mbili katika ofisi ya Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS), mkoa wa Mbeya ili kusaidia kuboresha barabara katika eneo la Inyala ambapo kumekuwa na mfululizo wa ajali za mara kwa mara.

Ametoa agizo hilo mkoani Mbeya, mara baada ya kukagua eneo la Mlima Nyoka hadi Mteremko wa Shamwengo ambapo pamoja na mambo mengine Prof. Mbarawa amesisitiza kuwa fedha hizo zifike haraka kwani mkandarasi ameshapatikana na kuanza kazi  za awali za maboresho ya eneo hilo zinaendelea ili kukamilisha ujenzi wa barabara ya mchepuo km 2.8 kwa kiwango cha lami pamoja na uwekaji wa taa za barabarani.

“Eneo hili limekuwa na changamoto za ajali za mara kwa mara hivyo,nimeamua kuja kukagua hapa ili kushuhuhudia kazi zinazoendelea kufanyika, ni imani yangu kuwa kukamilika kwa kazi hii kutapunguza changamoto za ajali na magari yataendelea kupita bila kupata changamoto zozote”, amesema Prof. Mbarawa.

Prof. Mbarawa amebainisha mipango ya muda mfupi iliyochukuliwa ili kupunguza ajali katika eneo hilo ni pamoja na kujenga sehemu za kuegesha magari ili kuwapa nafasi Jeshi la Polisi kufanya ukaguzi wa magari ya masafa marefu kabla ya kuyaruhusu kuendelea na safari pindi wanapokaribia kupita eneo la Inyala na kuongeza idadi ya alama za tahadhari katika kuimarisha usalama wa eneo hilo.

Ametaja kazi nyingine zinazoendelea ni matengenezo ya barabara ya mchepuo yenye urefu wa KM 2.8 kwa kiwango cha changarawe kama sehemu ya kuyachepusha magari ya abiria na madogo ili yasichangamane na magari makubwa wakati wanateremka katika mlima huo mkali.

Aidha, Waziri huyo amebainisha mipango ya muda mrefu ambayo Serikali imejiwekea ni kupanua barabara hiyo na kuwa njia nne kutoka Igawa – Tunduma yenye urefu wa kilometa 218 ili iweze kukidhi mahitaji ya sasa.

“Barabara hii ilijengwa mwaka 1968 hadi 1973 na kufanyiwa ukarabati mkubwa mwaka 1993 na sasa Serikali inaendelea kuiboresha kuwa ya kisasa na ubora ili kuruhusu magari makubwa na madogo kupita bila ya changamoto zozote”, amesisitiza Prof. Mbarawa.

Naye, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Juma Homera, amemshukuru Waziri huyo kwa kukagua na kujionea kazi inavyoendelea na amemuahidi kutoa ushirikiano kupitia Kamati ya Ulinzi na Usalama na wananchi katika ulindaji na uhakikishaji wa usalama wa watu, mizigo na mali wakati wote.

Awali akitoa taarifa  Meneja wa TANROADS, mkoa wa Mbeya, Eng. Matari Masige, amemueleza Waziri huyo kuwa hivi sasa wanafanya upanuzi wa barabara hiyo kwa kuongeza urefu kutoka mita 6.7 hadi kufikia mita 10.5 ili kuruhusu magari  matatu kupishana kwa wakati mmoja bila ya kusababisha madhara.

“TANROADS inaendelea na uboreshaji wa upana wa barabara kwa kuongeza urefu hadi kufikia mita 10.5 ili magari mawili yakiwa yanapanda na moja linashuka na kama kuna shida yoyote imetokea basi kusiifunge hiyo barabara”, amefafanua Eng. Masige.

Hatua za maboresho ya barabara kuu iendayo Zambia (TANZAM Highway), eneo la Inyala zimetokana changamoto ya wingi wa ajali zilizokuwa zikitokea na kusababisha madhara makubwa ikiwemo vifo, majeruhi na upotevu wa mali kwa watumiaji wa barabara hiyo kuanzia mwezi Januari hadi Septemba mwaka huu.

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa (kulia), akitoa maelekezo kwa Mkurugenzi wa Barabara wa Sekta ya Ujenzi, Eng. Aloyce Matei (katikati) na Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Mbeya, Eng. Matari Masige (kushoto) mara baada kukagua hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa barabara kuu iendayo Zambia (TANZAM Highway) eneo la Inyala, Mkoani Mbeya.

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa (katikati), akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Juma Homera, kuhusu hatua mbalimbali zilizochukuliwa na Serikali ya Mkoa kwa eneo la Inyala wakati Waziri huyo alipokagua maendeleo yake Mkoani Mbeya. Kulia ni Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Mbeya, Eng. Matari Masige.

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa akizungumza na wananchi wa Kata ya Shamwengo, wilaya ya Mbeya Vijijini (hawapo pichani) wakati alipokagua maendeleo maendeleo ya ujenzi wa barabara kuu iendayo Zambia (TANZAM Highway) eneo la Inyala Mkoani Mbeya.

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa (kulia), akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Juma Homera, wakati wa ukaguzi wa hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa barabara kuu iendayo Zambia (TANZAM Highway), eneo la Inyala, Mkoani Mbeya.

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa (wa pili kulia),  akimsikiliza Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Mbeya, Eng. Matari Masige, kuhusu hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa barabara  kuu iendayo Zambia (TANZAM Highway), eneo la Inyala wakati Waziri huyo alipokagua maendeleo yake Mkoani Mbeya. Wa pili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Juma Homera.

Muonekano wa sehemu ya barabara kuu iendayo Zambia (TANZAM Highway) ambayo kwa sasa inaongezwa upana kutoka mita 6.7 hadi 10.5 ili kuruhusu magari kupishana kwa urahisi Mkoani Mbeya.

PICHA NA WUU

About the author

Alex Sonna