marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

casibom giriş

jojobet

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

imajbet

vdcasino

marsbahis

ganobet

bets10 giriş

jojobet

holiganbet

wbahis

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

grandpashabet

marsbahis

restbet

artemisbet

artemisbet

kavbet giriş

mislibet

betra

kavbet

aresbet

jojobet

betasus giriş

holiganbet

kulisbet, kulisbet giriş

betkare, betkare giris

betparibu

bekabet, bekabet giris

jojobet

Superbetin giriş

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

perabet

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

onlybet giriş

betebet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

dinamobet güncel giriş

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

ultrabet

Gamdom

grandpashabet giriş

egebet

betsmove

mavibet

egebet

betsmove

tophillbet

netbahis giriş

casibom

royalbet

bibubet

https://pasands.com/

يلا شوت

hantavirus token

restbet

kumar siteleri

kralbet giriş

Grandpashabet Güncel Adres

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

parmabet

kavbet

kavbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet

artemisbet giriş

parmabet

parmabet giriş

mislibet

parmabet

vdcasino

marsbahis

sweet bonanza

jojobet güncel giriş

yakabet

marsbahis

vdcasino

aviator

bets10

bets10 giriş

jupiterbahis

Featured Kitaifa

DC SHEKIMWERI AIPONGEZA TANESCO DODOMA KWA KUTOA HUDUMA KWA WATEJA

Written by Alex Sonna

MKUU  wa Wilaya ya Dodoma,Jabir Shekimweri,akizungumza wakati wa kilele cha wiki ya huduma kwa wateja kwa Shirika la TANESCO Mkoa wa Dodoma hafla iliyoendana sambamba na ukataji wa keki pamoja na uchangiaji damu iliyofanyika leo Oktoba 7,2022 jijini Dodoma.

……………………………..

Na.Alex Sonna-DODOMA

MKUU  wa Wilaya ya Dodoma,Jabir Shekimweri amelipongeza shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) mkoani Dodoma kwa kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi pamoja na kuendelea kuboresha huduma kwa wateja.

Hayo ameyasema leo Oktoba 7, 2022 jijini Dodoma wakati wa kilele cha wiki ya huduma kwa wateja kwa Shirika hilo, ambapo amesema kuwa

“Niwapongeze kwa kuhitimisha wiki ya huduma kwa mteja, utoaji wa huduma ukiimarishwa hasa kwenye shirika hili muhimu, kutaleta tija kwa jamii, nawapongeza kwa kupiga hatua sana kwenye utendaji kazi wenu,”amesema Shekimweri

Aidha Shekimweri amesema kuwa kutokana na shirika hilo kupitia katika mifumo mipya ya kidijitali wanapaswa kwenda na kasi na viwango katika kutoa huduma iliyobora kwa wateja wao.

”Mnatakiwa kwenda sambamba na kasi ya ubunifu  ili kuweza kutimiza malengo ya Serikali kwa wananchi na wadau wengine ambao ndio wateja wanaofikiwa na huduma hiyo.”amesema

Amewataka watumishi wa shirika hilo  kufanya kazi kwa ari, ushirikiano, ubunifu na kujituma kwa hali ya juu ili kuweza kutimiza malengo ya Serikali kwa wateja.

Aidha Shekimweri ameshiriki zoezi la kukata keki na watumishi wa TANESCO na wateja waliohudhuria hafla hiyo.

Kwa upande wake Meneja wa TANESCO mkoa wa Dodoma, Mhandisi Donasiano Shamba, ametaja maboresho mbalimbali yaliyofanyika ndani ya miezi tisa iliyopita yanayolenga kutoa huduma bora kwa wateja wake.

Mhandisi Shamba amesema shirika hilo limekuwa likitekeleza mpango mkakati wa miezi 18 wenye vipaumbele saba ili kutoa huduma bora kwa wananchi.

Amesema kupitia mfumo wa kidigitali wa kuomba kuunganishiwa umeme bila kumlazimu mteja kwenda ofisini (Nikonekt), shirika hilo limepokea maombi ya wateja zaidi ya 19,000 na tayari wananchi zaidi ya 10,000. wameunganishiwa umeme.

“Maboresho yamefanyika katika huduma za dawati la dharura ambapo wateja wanapiga simu kwenye kituo kikuu cha miito ya simu na wanapata huduma ndani ya muda mfupi zaidi” amesema Mhandisi Shamba.

Naye Mhandisi wa miradi na mitambo, kutoka kampuni ya Kilimo Pyxus, Muhoja Manane,  amesema TANESCO imepiga hatua katika kuwahudumia wateja ikilinganishwa na kipindi cha nyuma.

Awali, Mwenyekiti wa wafanyakazi wa Shirika hilo kupitia Chama cha Wafanyakazi (TUICO), Ramadhan Butallah, amesema kuwa wamejipanga kuhakikisha wateja wanapata huduma bora.

”Wateja wanapewa huduma kulingana na mwongozo wa mkataba wa huduma kwa mteja kwa kuhamasisha wafanyakazi kuwahudumia vyema wananchi.”amesema

TANESCO Mkoa wa Dodoma  wameshiriki katika zoezi la kuchangia damu ikiwa ni sehemu ya kusheherekea wiki ya huduma kwa mteja inayoadhimishwa kila mwaka kuanzia wiki ya kwanza ya mwezi Oktoba

MKUU  wa Wilaya ya Dodoma,Jabir Shekimweri,akizungumza wakati wa kilele cha wiki ya huduma kwa wateja kwa Shirika la TANESCO Mkoa wa Dodoma hafla iliyoendana sambamba na ukataji wa keki pamoja na uchangiaji damu iliyofanyika leo Oktoba 7,2022 jijini Dodoma.

MKUU  wa Wilaya ya Dodoma,Jabir Shekimweri,akisisitiza jambo wakati wa kilele cha wiki ya huduma kwa wateja kwa Shirika la TANESCO Mkoa wa Dodoma hafla iliyoendana sambamba na ukataji wa keki pamoja na uchangiaji damu iliyofanyika leo Oktoba 7,2022 jijini Dodoma.

Meneja wa TANESCO mkoa wa Dodoma, Mhandisi Donasiano Shamba,akitoa taarifa ya shirika hilo mkoa wa Dodoma wakati wa kilele cha wiki ya huduma kwa wateja kwa Shirika la TANESCO Mkoa wa Dodoma hafla iliyoendana sambamba na ukataji wa keki pamoja na uchangiaji damu iliyofanyika leo Oktoba 7,2022 jijini Dodoma.

MENEJA Masoko wa TANESCO Bw.Kassim Chowo,akizungumza wakati wa kilele cha wiki ya huduma kwa wateja kwa Shirika la TANESCO Mkoa wa Dodoma hafla iliyoendana sambamba na ukataji wa keki pamoja na uchangiaji damu iliyofanyika leo Oktoba 7,2022 jijini Dodoma.

Mhandisi wa miradi na mitambo, kutoka kampuni ya Kilimo Pyxus, Muhoja Manane,akizungumza wakati wa kilele cha wiki ya huduma kwa wateja kwa Shirika la TANESCO Mkoa wa Dodoma hafla iliyoendana sambamba na ukataji wa keki pamoja na uchangiaji damu iliyofanyika leo Oktoba 7,2022 jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa wafanyakazi wa Shirika hilo kupitia Chama cha Wafanyakazi (TUICO), Ramadhan Butallah,akizungumza wakati wa kilele cha wiki ya huduma kwa wateja kwa Shirika la TANESCO Mkoa wa Dodoma hafla iliyoendana sambamba na ukataji wa keki pamoja na uchangiaji damu iliyofanyika leo Oktoba 7,2022 jijini Dodoma.

BAADHI ya watumishi wa TANESCO wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Dodoma,Jabir Shekimweri (hayupo pichani) wakati wa kilele cha wiki ya huduma kwa wateja kwa Shirika la TANESCO Mkoa wa Dodoma hafla iliyoendana sambamba na ukataji wa keki pamoja na uchangiaji damu iliyofanyika leo Oktoba 7,2022 jijini Dodoma.

MKUU  wa Wilaya ya Dodoma,Jabir Shekimweri,akipata maelezo kutoka kwa Afisa Uhusiano Tanesco Mkoa Dodoma Sarah Libogoma,wakati wa kilele cha wiki ya huduma kwa wateja kwa Shirika la TANESCO Mkoa wa Dodoma hafla iliyoendana sambamba na ukataji wa keki pamoja na uchangiaji damu iliyofanyika leo Oktoba 7,2022 jijini Dodoma.

MKUU  wa Wilaya ya Dodoma,Jabir Shekimweri,akikata keki  wakati wa kilele cha wiki ya huduma kwa wateja kwa Shirika la TANESCO Mkoa wa Dodoma hafla iliyoendana sambamba na uchangiaji damu iliyofanyika leo Oktoba 7,2022 jijini Dodoma.

MKUU  wa Wilaya ya Dodoma,Jabir Shekimweri,akiwalisha keki wafanyakazi wa TANESCO,Wateja waliohudhuria kilele cha wiki ya huduma kwa wateja kwa Shirika la TANESCO Mkoa wa Dodoma hafla iliyoendana sambamba na ukataji wa keki pamoja na uchangiaji damu iliyofanyika leo Oktoba 7,2022 jijini Dodoma.

MKUU  wa Wilaya ya Dodoma,Jabir Shekimweri,akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa TANESCO mara baada ya kuzungumza kwenye  kilele cha wiki ya huduma kwa wateja kwa Shirika la TANESCO Mkoa wa Dodoma hafla iliyoendana sambamba na ukataji wa keki pamoja na uchangiaji damu iliyofanyika leo Oktoba 7,2022 jijini Dodoma.

WAFANYAKAZI wa TANESCO wakichangia damu wakati wa kilele cha wiki ya huduma kwa wateja kwa Shirika la TANESCO Mkoa wa Dodoma hafla iliyoendana sambamba na ukataji wa keki pamoja na uchangiaji damu iliyofanyika leo Oktoba 7,2022 jijini Dodoma.

About the author

Alex Sonna