Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ASHIRIKI SIKU YA PILI YA MKUTANO WA UBUNIFU WA AFYA DUNIANI DOHA NCHINI QATAR

Written by mzalendoeditor

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa mmoja wa wachangiaji Wakuu wa mada mbalimbali katika siku ya pili ya Mkutano wa Ubunifu wa Afya Duniani (World Innovation Summit for Health) unaofanyika Doha nchini Qatar .  

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea Hospitali ya Sidra ambayo inatoa huduma za matibabu ya kibingwa kwa Mama na Mtoto na kujionea utendaji kazi wa Kituo cha utafiti wa Kisayansi kuhusu masuala mbalimbali ya Kiafya, Doha nchini Qatar

About the author

mzalendoeditor