Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

meritbet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ATUNUKIWA NISHANI NA WAHANDISI NA WATEKNOLOJIA WA VIFAA TIBA TANZANIA

Written by Alex Sonna

Na Alex Sonna-DODOMA

WAHANDISI na Wateknolojia  wa Vifaa Tiba Tanzania wamempatia nishani Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuelekeza fedha nyingi katika teknolojia ya vifaa tiba.

Akipokea nishani hiyo kwa niaba ya Rais Samia,Naibu Waziri wa Afya,Dk Godwin Mollel amesema hiyo ni heshima kubwa kwa Rais.

Mbali na kupokea nishani hiyo pia Dk.Mollel,amefungua  mkutano Mkuu wa mwaka wa Umoja wa Wahandisi na Wateknolojia wa Vifaa Tiba Tanzania uliofanyika leo Septemba 22,2022 jijini Dodoma

Dk.Mollel amesema Rais Samia amefanya kazi kubwa kwenye sekta ya afya kwa kuwekeza kwenye vifaa tiba.

“Watoto zaidi 500 wametibiwa hapa nchini na kuokoa zaidi ya bilioni 17 ambazo zilitakiwa zitumike kuwapeleka Nje ya Nchi.

Amesema mpaka uchaguzi unakamilika mwaka 2020 ni Hospitali mbili zilikuwa na CT scan lakini kwa sasa Hospitali zote zinaenda kuwa CT Scan.

“Tiba dawa ya mionzi ilikuwa inaenda kuchukuliwa Afrika Kusini lakini leo tuna kiwanda cha kutengeneza mionzi tiba ambayo ipo pale Ocean Road”

“Hayo wenzetu wameyatizama wakasema ni lazima Rais wetu wamshukuru na kumpongeza kwa kazi kubwa.

“Sasa sisi ambacho tunawaomba kwa huu mwaka mmoja amewekeza zaidi ya bilioni 200 kwenye mikono yao wanakazi kubwa ya kusimamia vifaa hivyo,”amesema Naibu Waziri huyo.

Amesema amejiunga kwenye chama hicho kuhakikisha vifaa tiba vinatunzwa pamoja kupunguza gharama za kutibu.

Hata hivyo,Dk.Mollel amewaagiza Waganga Wakuu wa Mikoa na Wakurugenzi wa Hospitali za Taifa, Kanda,Mikoa na Wilaya wahakikishe wanapofanya manunuzi yoyote ya vifaa tiba ni lazima wataalamu wa Vifaa tiba washirikishwe.

Amesema hata Wizara ya Afya wakati mwingine vinaponunuliwa vifaa tiba anasimamia mtaalamu wa maabara,washirikiane ili ubora upatikane.

“Tukikuta vifaa vimenunuliwa na wataalamu hawajashirikishwa hilo ni tatizo msikae nyuma simamieni eneo lenu,”amesema Dk.Mollel.

Kwa upande wake,Mkurugenzi wa Huduma za Uchunguzi na HTCTS,Alex Magesa amesema wanaomba kuunda Bodi ya taaluma ya vifaa tiba.

Amesema kupitia Bodi hiyo watahakikisha mambo yanaenda vizuri na juhudi zinaendelea kuengeza idadi ya waajiriwa.

“Tunajua mna uchache wa karakana za kuhudumia vifaa vyetu na kwa Sasa zipo katika maeneo machache.

Amesema Serikali inajitahidi kuhakikisha kazi zinazotendeka zinafanyika kwa mujibu wa muongozo.

Amesema miongozo inatekelezwa pale kunapokuwa na watu wa kutosha ili iweze kutumia vizuri.

“Tunategemea miongozo hiyo itatengenezwa na kuhuishwa ili huduma zetu ziwe sahihi,”amesema

Amesema wataendelea kufanya kila linalowezekana kuhakikisha kitaaluma kunaboreshwa na kimaslahi.

Naibu Waziri wa Afya,Dk Godwin Mollel,akizungumza wakati akifungua Mkutano Mkuu wa mwaka wa Umoja wa Wahandisi na Wateknolojia wa Vifaa Tiba Tanzania uliofanyika leo Septemba 22,2022 jijini Dodoma

Rais wa Umoja wa Wahandisi na Wateknolojia wa Vifaa Tiba Tanzania Mhandisi Valentino Mvanga,akielezea malengo ya Mkutano huo wakati wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa Umoja wa Wahandisi na Wateknolojia wa Vifaa Tiba Tanzania uliofanyika leo Septemba 22,2022 jijini Dodoma

Katibu Mkuu wa Wahandisi na Wateknolojia wa Vifaa Tiba Tanzania,akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa Umoja wa Wahandisi na Wateknolojia wa Vifaa Tiba Tanzania uliofanyika leo Septemba 22,2022 jijini Dodoma

Mkurugenzi wa Huduma za Uchunguzi na HTCTS,Alex Magesa,akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa Umoja wa Wahandisi na Wateknolojia wa Vifaa Tiba Tanzania uliofanyika leo Septemba 22,2022 jijini Dodoma

Mkurugenzi wa Idara ya Tiba Wizara ya Afya Paulo Mhame,akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa Umoja wa Wahandisi na Wateknolojia wa Vifaa Tiba Tanzania uliofanyika leo Septemba 22,2022 jijini Dodoma.

Sehemu ya washiriki wafatilia hotuba ya Naibu Waziri wa Afya,Dk Godwin Mollel (hayupo pichani) wakati akifungua Mkutano Mkuu wa mwaka wa Umoja wa Wahandisi na Wateknolojia wa Vifaa Tiba Tanzania uliofanyika leo Septemba 22,2022 jijini Dodoma

Naibu Waziri wa Afya,Dk Godwin Mollel,akipokea  Nishani kwa niaba ya  Rais Samia Suluhu Hassan,aliyotunukiwa na Wahandisi na Wateknolojia  wa Vifaa Tiba Tanzania kwa kuelekeza fedha nyingi katika teknolojia ya vifaa tiba wakati wa  Mkutano Mkuu wa mwaka wa Umoja wa Wahandisi na Wateknolojia wa Vifaa Tiba Tanzania uliofanyika leo Septemba 22,2022 jijini Dodoma

Naibu Waziri wa Afya,Dk Godwin Mollel,akiwa katika pivha ya pamoja mara baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa mwaka wa Umoja wa Wahandisi na Wateknolojia wa Vifaa Tiba Tanzania uliofanyika leo Septemba 22,2022 jijini Dodoma

About the author

Alex Sonna