Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

jojobet

holiganbet

jojobet

sahabet giriş

meritking

https://www.newstrendline.com/

grandpashabet

ultrabet giriş

lunabet

norabahis

setrabet

jojobet giriş

holiganbet giriş

timebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

vipslot

vipslot

realbahis

mavibet giriş

mavibet

royalbet giriş

mavibet giriş

norabahis giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

norabahis giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

norabahis

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

mariobet

jojobet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

maxwin

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

sahabet

dinamobet giriş

casibom

vaycasino

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

vaycasino

ultrabet

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betzula

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu veren siteler

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

casibom

royalbet

casibom

kafacasino

betface

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

pusulabet

betsat

betsat

vdcasino

jojobet

casibom

matbet

Jojobet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

royalbet

artemisbet

artemisbet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

betwild

jojobet

Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU AWATAKA MABALOZI WAHAMASISHE MASOKO, UWEKEZAJI

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na mabalozi wa Tanzania walioapishwa hivi karibuni,  baada ya kuzungumza nao ofisini kwake bungeni jijini Dodoma, Septemba 19, 2022. Kutoka kushoto ni Balozi Simon Siro (Zimbabwe), Balozi  Caroline Chipeta  (Uholanzi) na Balozi Luteni Generali Mathew Mkingule  (Zambia). (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

.……………………………

 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika mataifa mbalimbali waweke msisitizo katika utekelezaji wa diplomasia ya uchumi na kuhamasisha zaidi upatikanaji wa masoko wa bidhaa za ndani na uwekezaji.

Amesema kuwa maboresho ya sera na mfumo wa uwekezaji uliofanywa na Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umesaidia kwa kiasi kikubwa kuimarisha mazingira ya uwekezaji nchini.

Waziri Mkuu amesema hayo leo (Jumatatu, Septemba 19, 2022) alipokutana na mabalozi hao ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma. Mabalozi aliokutana nao ni Balozi Caroline Chipeta (Uholanzi), Balozi Simon Sirro (Zimbabwe) na Balozi Luteni Jenerali Mathew Mkingule (Zambia),

Amesema Tanzania inahitaji wawekezaji makini watakowekeza kwenye sekta mbalimbali ikiwemo kilimo, madini na maliasili. “Tunataka uwekezaji wenye tija ili kuimarisha uchumi wetu, pia tunataka wawekezaji watakaozalisha bidhaa hapa nchini kwa kutumia malighafi zetu.”

“Nchi yetu ni moja kati ya mataifa ambayo jiografia yake imekaa kimkakati, tuna masoko kutoka jumuiya mbalimbali ikiwemo SADC na EAC, hata mazingira yetu ya uwekezaji ni mazuri, tunazo ndege, bandari na sasa tunaendelea kufanya maboresho makubwa kwenye sekta ya nishati.”

Aidha, Mheshimiwa Majaliwa amewataka mabalozi hao kuandaa makongamano na vikao vya pamoja vya kibiashara kati ya wafanyabiashara wa nchi wanazoziwakilisha na sekta binafsi wa nchini Tanzania.

“Nendeni Mkatafute masoko ya bidhaa zetu za ndani, shirikini kwenye maonesho yanayoandaliwa ili mtangaze bidhaa zetu, tunataka wakulima wetu wanufaike kwa kupata masoko kutoka kwenye nchi mnazokwenda.”

Pia, Mheshimiwa Majaliwa amewasisitiza mabalozi hao wahakikishe wanalinda taswira ya Tanzania katika nchi uwakilishi sambamba na kujielekeza katika kuvutia watalii na kuwasaidia wafanyabiashara wa Kitanzania kufanya biashara nje.

Pia, Waziri Mkuu amewataka mabalozi hao wakajifunze teknolojia mpya na kuona namna inavyoweza kuisaidia Tanzania. “Suala hili linaenda sambamba na kutafuta fursa za masomo kwa vijana wetu katika nchi mnazokwenda.”

Waziri Mkuu amesema mabalozi hao wanatakiwa kuitangaza lugha ya Kiswahili. “Naamini mtatumia ushawishi wenu kukitangaza Kiswahili, angalieni namna ya kuanzisha madarasa ya lugha ya Kiswahili.”

Akizungumza kwa niaba ya mabalozi wenzake, Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Balozi Simon Sirro amesema kuwa kutokana na imani kuwa walioneshwa na Rais Samia watakwenda kufanya kazi na kuhakikisha nchi inanufaika na uwakilishi wao.

 

About the author

Alex Sonna