Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ADHAMIRIA KUTATUA CHANGAMOTO ZA WAFANYAKAZI NCHINI – WAZIRI NDALICHAKO

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akizungumza na Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) wakati wa ufunguzi wa semina ya uelewa wa Kanuni mpya ya mafao ya pensheni iliyofanyika jijini Dodoma.

………………………….

 

Na: Mwandishi Wetu – Dodoma

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan imedhamiria kutatua changamoto za wafanyakazi ili kuboresha maslahi yao.

Waziri Ndalichako ametoa kauli hiyo wakati akifungua semina ya siku moja kwa Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) kuhusu uelewa wa Kanuni mpya ya mafao ya pensheni katika ukumbi wa PSSSF, jijini Dodoma.

Amesema kuwa, Rais Samia anawajali na kuwathamini wafanyakazi kutokana na mchango wao mkubwa wanaotoa katika ujenzi wa uchumi wa nchi na ndio maana anataka kila mtumishi aweze kushiriki kikamilifu katika kukuza maendeleo ya nchi.

“Ninyi nyote ni mashahidi katika kipindi cha uongozi wa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan watumishi wameweza kupandishwa madaraja vilevile ajira zimetangazwa kwa wingi katika sekta mbalimbali ikiwemo Afya, Elimu”

“Nimshukuru Mheshimiwa Rais, Samia Suluhu Hassan kwa kufanya uamuzi wa kulipa shilingi trilioni 2.17 kwa ajili ya kulipa deni lililodumu kwa muda mrefu la shilingi trilioni 4.6 la michango kabla ya 1999 kama malipo ya deni la Serikali kwa lengo la kukomboa mifuko,”

Aidha, Waziri Ndalichako ametumia fursa hiyo kuwasisitizia viongozi hao wa Vyama vya Wafanyakazi juu ya umuhimu wa kuendelea kutoa na kueneza elimu hiyo ya Kanuni mpya ya mafao ya pensheni iliyoanza kutumika Julai 1, 2022 kwa wanachama nchi nzima.

Sambamba na hayo, Mhe. Ndalichako amewataka viongozi hao kuendelea kushirikiana na Serikali ili kuleta tija na ufanisi katika kukuza sekta ya kazi na ushughulikiaji wa masuala ya wafanyakazi nchini.

Kwa upande wake, Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Tumaini Nyamhokya amesema kuwa semina hiyo itasaidia kuwajengea uelewa viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi juu ya Kanuni hiyo mpya ya mafao ya pensheni, ili waweze kukuza uelewa wa wanachama kuhusu kanuni hiyo kwa wanachama wengine.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akizungumza na Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) wakati wa ufunguzi wa semina ya uelewa wa Kanuni mpya ya mafao ya pensheni iliyofanyika jijini Dodoma.

Sehemu ya washiriki wakisikiliza maelezo ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako (hayupo pichani) wakati wa semina hiyo ya uelewa wa Kanuni mpya ya mafao ya pensheni.

Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Tumaini Nyamhokya akieleza jambo katika semina hiyo.

Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa sekta za Utafiti, Taaluma na Mashirika (RAAWU), Bi. Jane Mihanji akichangia jambo katika semina hiyo.

Mkurugenzi wa Uendeshaji Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Bw. Mbaruku Magawa akiwasilisha mada kuhusu Kanuni mpya ya mafao ya pensheni iliyoanza kutumika Julai 1, 2022 wakati wa semina hiyo.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako (katikati) akiimba na Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi wimbo wa Umoja na Mshikamano wakati wa ufunguzi wa semina ya uelewa wa Kanuni mpya ya mafao ya pensheni iliyofanyika jijini Dodoma.

About the author

Alex Sonna