Featured • Michezo RS BERKANE BINGWA CAF SUPER CUP 3 years agoby Alex Sonna122 Views Written by Alex Sonna Mabingwa wa kombe la Shirikisho RS Berkane ya Morocco wametwaa taji la CAF Super Cup baada ya kuwafunga mabingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika Wydad Casablanca mabao 2-0. FacebookXGoogle+PinterestLinkedIn