Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA MARGARET SITTA

Written by mzalendoeditor

  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 9, 2022 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Shule ya Sekondri ya Wasichana Margart Sitta iliyopo Urambo  mkoa wa Tabora. Pichani, Waziri Mkuu akiweka jiwe la msingi na wengine kutoka kushoto ni Waziri wa nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, David Silinde, Balozi w Japan nchini, Yosushi Misawa, Mbunge wa Urambo Margaret Sitta na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Balozi Dkt. Batilda Burian. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwaaga wanafunzi baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Shule ya Sekondri ya wasichana Margaret Sitta iliyopo Milambo mkoa wa Tabora, Septemba  9, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor