Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

betsat

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet güncel giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

pokerklas

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Featured Kimataifa

MAKAMU WA RAIS MAZUNGUMZO NA MWENYEKITI WA BODI AGRA

Written by Alex Sonna

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi ya Jumuiya ya Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika (AGRA) ambaye ni Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mheshimiwa Hailemariam Desalegn, mazungumzo yaliofanyika kando ya Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kigali nchini Rwanda.

………………………………………..

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dkt. Philip Mpango leo tarehe 07 Septemba 2022 amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi ya Jumuiya ya Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika (AGRA) ambaye ni Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mheshimiwa Hailemariam Desalegn, mazungumzo yaliofanyika kando ya Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kigali nchini Rwanda. 

Katika Mazungumzo hayo, Makamu wa Rais amemueleza Desalegn dhamira ya serikali ya awamu ya sita ya kuinua sekta ya kilimo hususani kuongeza uzalishaji pamoja kuwavutia zaidi vijana na wanawake ambao ni idadi kubwa iliopo kushiriki katika sekta hiyo. Amesema serikali imeongeza bajeti katika sekta ya kilimo kutoka bilioni 294 mwaka 2021/2022 hadi kufikia bilioni 751 mwaka 2022/2023 ambapo uzalishaji wa mbegu bora na uazishwaji wa skimu za umwagiliaji ukiendelea.

Aidha amesema serikali imeanzisha Program maalum iitwayo “Building Better Tomorrow” ambayo inawalenga wanawake na vijana kushiriki katika kilimo ambapo pamoja na mambo mengine imelenga kuanzisha  miradi kilimo cha biashara kuanzia 12000 katika vijiji 12000 nchi nzima hivyo ni muhimu jumuiya na taasisi zinazoendeleza kilimo ikiwemo AGRA kuunga mkono ajenda hiyo.

Makamu wa Rais amesema Tanzania imebarikiwa kuwa na ardhi pamoja na eneo zuri la kijiografia ambalo linaweza kutumika katika kuchangia usalama wa chakula barani Afrika hivyo kuwakaribisha wawekezaji katika sekta ya kilimo.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Bodi ya Jumuiya ya Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika (AGRA) ambaye ni Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mheshimiwa Hailemariam Desalegn Amesema AGRA inaunga mkono jitihada za Tanzania katika kuinua sekta ya kilimo na ipo tayari kushirikiana na taasisi zingine katika ufadhili wa programu mbalimbali za miradi ya kilimo ikiwemo “Building Better Tomorrow”.

Aidha ameongeza kwamba sekta ya kilimo barani Afrika inapaswa kuendana na maendeleo ya teknolojia kwa kuwekeza katika teknolojia rafiki ili kuweza kufanya kilimo cha kisasa, kufanya uzalishaji bora na baadae kuweza kuvutia vijana zaidi.

Katika hatua nyingine Makamu wa Rais amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame, mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kigali nchini Rwanda. Mazungumzo hayo yamefanyika kabla ya kuanza kwa mkutano wa wakuu wa nchi na serikali wanaoshiriki majadiliano katika mkutano wa Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika leo tarehe 7 Septemba 2022.

Pia Makamu wa Rais amefanya mazungumzo na Rais mteule wa Mfuko wa Ufadhili wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) Alvaro Lario, Mazungumzo yaliofanyika kando ya Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kigali nchini Rwanda.

Mazungumzo hayo yamelenga kuongeza ushirikiano baina ya Tanzania na Mfuko huo kwa lengo la kuendeleza miradi mbalimbali inayotekelezwa kwa lengo la kuendeleza sekta ya kilimo nchini Tanzania

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi ya Jumuiya ya Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika (AGRA) ambaye ni Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mheshimiwa Hailemariam Desalegn, mazungumzo yaliofanyika kando ya Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kigali nchini Rwanda.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Jumuiya ya Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika (AGRA) ambaye ni Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mheshimiwa Hailemariam Desalegn mara baada ya mazungumzo yao yaliofanyika kando ya Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kigali nchini Rwanda.

About the author

Alex Sonna