Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Featured Kimataifa

MAKAMU WA RAIS AHUTUBIA JUKWAA LA WAKULIMA KIGALI RWANDA

Written by Alex Sonna

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango akihutubia katika Jukwaa la Wakulima kwenye Mkutano wa Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika wa mwaka 2022 (AGRF 2022) unaofanyika Kigali nchini Rwanda.

………………………………….

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amesema ili kuharakisha mabadiliko katika mfumo wa Chakula, Mataifa ya Afrika yanapaswa kuweka sera rafiki katika sekta ya kilimo zitakazorahisisha upatikanaji zaidi wa fedha kwa vijana na wanawake ili waweze  kuvutiwa kushiriki katika kilimo.

Makamu wa Rais amesema hayo wakati akitoa hotuba katika Jukwaa la Wakulima kwenye Mkutano wa Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika wa mwaka 2022 (AGRF 2022) unaofanyika Kigali nchini Rwanda. Ameongeza kwamba inapaswa kuweka kipaumbele katika ufadhili wa tafiti na maendeleo pamoja na huduma za ugani zitakazosaidia katika kuongeza uzalishaji katika sekta ya kilimo na hivyo kuhakikisha usalama wa chakula. Amesema ni muhimu ufadhili huo ukalenga uendelezaji wa rasilimali watu, kuvumbua mazao mapya pamoja na kukuza teknolojia rafiki kulingana na mazingira husika.

Halikadhalika ameongeza kwamba viongozi wa serikali pamoja na sekta binafsi hususani wanaosimamia sekta ya kilimo wanapaswa kuwa mstari wa mbele katika kushiriki kwenye kilimo ili wawe mfano kwa wakulima wengine na pia chachu ya utengenezaji wa sera rafiki za kilimo. Pia amesema ni muhimu kusimamia matumizi ya mizani na vipimo ili kuwalinda wakulima dhidi ya unyonyaji unaojitokeza katika masoko ya mazao yao.

Makamu wa Rais amesema Tanzania inaendelea kuchukua hatua mbalimbali za kuimarisha sekta ya kilimo ili kuwa na uhakika wa chakula ikiwemo ajenda ya “10/30 kilimo ni biashara” inayolenga kukuza sekta hiyo kufikia asilimia 10 kwa mwaka ifikapo 2030 ambapo katika kufikia hayo serikali inaendelea kuhamasisha sekta ya umma na binafsi kuwekeza katika kilimo, kuongeza bajeti ya kilimo, kutumia teknolojia ya kidijitali kwaajili ya kupanga,kufuatilia na kutathimini huduma za ugani,masoko na malipo.

Aidha amesema kupitia ushirikiano wa kikanda kama vile Jumuiya ya Afrika Mashariki pamoja na Jumuiya ya Maendeleo kusini mwa Afrika(SADC), Tanzania imeendelea kurahisisha mnyororo wa thamani katika sekta ya kilimo kwa kuondoa ushuru na vikwazo mbalimbali vya kiforodha na visivyokuwa vya kiforodha,kuondoa vikwazo vya usafirishaji mazao nje ya nchi pamoja  na kuhakikisha upatikanaji wa habari kwa nchi washirika katika biashara hiyo.

Makamu wa Rais yupo nchini Rwanda kuwamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika wa mwaka 2022 (AGRF 2022).

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango akihutubia katika Jukwaa la Wakulima kwenye Mkutano wa Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika wa mwaka 2022 (AGRF 2022) unaofanyika Kigali nchini Rwanda.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango akisikiliza wazungumzaji mbalimbali katika Jukwaa la Wakulima kwenye Mkutano wa Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika wa mwaka 2022 (AGRF 2022) unaofanyika Kigali nchini Rwanda.

About the author

Alex Sonna