Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

meritbet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

Featured Kitaifa

WIZARA ZAKUBALIANA KUWEKA MIKAKATI THABITI KUBORESHA HUDUMA ZA MAKAZI YA WAZEE NCHINI

Written by Alex Sonna

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Wakili Amon Mpanju, akikagua eneo la Kilimo cha mbogamboga lililopo katika Makazi ya Wazee Misufini yaliyopo mkoani Tanga wakati wa ziara ya Manaibu Makatibu Wakuu kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara na Wizara ya Maji katika Makazi hayo.

……………………………………………

Na WMJJWM Tanga

Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Wizara ya Fedha na Wizara ya Maji zimekubaliana kuweka mikakati thabiti ya kuhakikisha wanashirikiana katika kuweka mazingira wezeshi ya kuwahudumia Wazee nchini.

Hayo yamebainika wakati wa ziara ya Viongozi hao Agosti 27, 2022 katika Makazi ya Wazee Misufini yaliyopo mkoani Tanga.

Akizungumza wakati qa ziara hiyo Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Wakili Amon Mpanju amesema lengo la Wizara ni kushirikiana Wizara za kisekta ili kuweka mazingira mazuri ya kuwahudumia Wazee nchini na kufanya Makazi ya Wazee yaliyochini ya Wizara kuwa na tija ya uzalishaji na kuhudumia Wazee.

Ameongeza kutokana na ziara ya Viongozi wa Wizara hizo katika Makazi ya Wazee yanayohudumiwa na Serikali inaonesha umuhimu wa kuwepo na Wizara za kisekta ili kupata hali halisi ya kuona namba bora ya kutatua changamoto zilizopo.

“Sisi kama Wizara tupo tayari kutembea pamoja na Wizara zingine na kuhakikisha Wazee wanapata huduma bora katika Makazi na jamii nzima” alisema Mpanju

Kwa upande wake Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Hashir Abdalah amesema Wizara hiyo itapeleka Maafisa wake kwenye eneo hilo la Makazi ya Wazee Misufini ili kutathimimi hali ya sasa ya Uwekezaji katika eneo husika kwa manufaa ya Wazee na Ustawi wa Jamii kwa ujumla.

“Tutahakikisha jambo lolote linalohusu Uwekezaji Viwanda na Biashara ndani ya maeneo ya Makazi ya Wazee nchini linatekelezwa kwa kasi na kwa matokeo chanya” alisema Dkt. Hashir

Naye Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Kaspar Mmuya amefafanua kuwa, suala la huduma kwa Wazee ni mtambuka na linashirikisha Sekta zote hivyo Ofisi ya Waziri Mkuu itaendelea kusimamia Uratibu wa Sera ambazo zinasimamia Wazee nchini ili kuboresha utoaji huduma kwa wazee.

Awali akitoa taarifa ya Makazi ya Wazee Misufini Afisa Mfawidhi wa Makazi hayo Mwamvita Kilima amesema Makazi hayo yanachangamoto ya mgogoro wa ardhi kwa wananchi kuvamia maeneo ya Makazi hayo, uchakavu wa miundombinu iliyopo hivyo amewaomba viongozi hao kusaidia kutatua changamoto hizo.

Ambapo katika hatua za awali za kutatua changamoto za kuwahudumia Wazee nchini ameiomba Wizara kuongeza watumishi wengine kwenye Makazi ya Wazee hasa ya Misufini ili kuongeza nguvu katika kutoa huduma bora kwa wazee.

Kwa upande wake Kamishna Msaidizi Tullo Masanja akitoa taarifa ya Mpango wa Wizara kwenye kuboresha huduma ya Makazi ya Wazee Misufini, amesema Wizara imeaanda andiko la mradi wa ujenzi wa Majengo ikiwemo nyumba tatu za kuhudumia Wazee 60 kwa pamoja na kuboresha miundombinu mengine.

Amefafanua kuwa lengo la Wizara ni kuweka mazingira mazuri ya kuwahudumia Wazee kwa kuhakikisha Makazi ya Wazee yanakuwa na miundombinu mbinu bora na nyenzo zingine kwajili kuwahudumia Wazee.

Nao baadhi ya Wazee wanaohudumiwa ndani ya Makazi ya Wazee Misufini wameishukuru Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali katika kufanikisha kutoka huduma kwa wazee wasio na ndugu na jamaa wa kuwatunza.

Ziara hiyo imejumuisha pia wadau kutoka WHO, SIDO TASAF na wadau wengine wa maendeleo nchini ikiwa ni muendelezo wa Wizara kutembelea na kufanya tathmini ya kina na kuja na mbinu mbadala yakuhudumia makazi ya Wazee.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Wakili Amon Mpanju, akizungumza wakati wa ziara ya Manaibu Makatibu Wakuu kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Wizara ya Maji kwenye Makazi ya Wazee Misufini yaliyopo mkoani Tanga.

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Kaspar Mmuya akizungumza wakati wa ziara ya Manaibu Makatibu Wakuu kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara na Wizara ya Maji katika Makazi ya Wazee Misufini yaliyopo mkoani Tanga.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Wakili Amon Mpanju, akisalimiana na Wazee wanaohudumiwa katika Makazi ya Wazee Misufini yaliyopo mkoani Tanga wakati wa ziara ya Manaibu Makatibu Wakuu kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara na Wizara ya Maji katika Makazi hayo

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Wakili Amon Mpanju, akikagua eneo la Kilimo cha mbogamboga lililopo katika Makazi ya Wazee Misufini yaliyopo mkoani Tanga wakati wa ziara ya Manaibu Makatibu Wakuu kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara na Wizara ya Maji katika Makazi hayo.

Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WMJJWM

About the author

Alex Sonna