Featured Kitaifa

NAIBU SPIKA ZUNGU AFUNGUA MAFUNZO YA UWAZI NA UWAJIBIKAJI KWA KAMATI ZA USIMAMIZI ZA BUNGE (PAC, LAAC NA PIC) PAMOJA NA KAMATI YA BAJETI

Written by mzalendoeditor

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa WAJIBU Institute of Public Accountability, Ndg. Ludovick Utouh kabla ya kufungua mafunzo ya uwazi na uwajibikaji kwa kamati za usimamizi za Bunge (PAC, LAAC na PIC) pamoja na kamati ya Bajeti yaliyofanyika leo Agosti 27,2022 Jijini Dodoma.

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu akifungua mafunzo ya uwazi na uwajibikaji kwa kamati za usimamizi za Bunge (PAC, LAAC na PIC) pamoja na kamati ya Bajeti yaliyofanyika leo Agosti 27,2022 Jijini Dodoma.

Mkurugenzi Mtendaji wa WAJIBU Institute of Public Accountability, Ndg. Ludovick Utouh akitoa neno la ukaribisho wakati wa mafunzo ya uwazi na uwajibikaji kwa kamati za usimamizi za Bunge (PAC, LAAC na PIC) pamoja na kamati ya Bajeti yaliyofanyika leo Agosti 27,2022 Jijini Dodoma.

Baadhi ya Wajumbe wa kamati za usimamizi wa Bunge (PAC, LAAC na PAC) pamoja na kamati ya Bajeti wakishiriki mafunzo ya uwazi na uwajibikaji kwa kamati hizo yaliyofanyika leo Agosti 27,2022 Jijini Dodoma.

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa kamati ya Bajeti baada ya kufungua mafunzo ya uwazi na uwajibikaji kwa kamati za usimamizi za Bunge (PAC, LAAC na PIC) pamoja na kamati ya Bajeti yaliyofanyika leo Agosti 27,2022 Jijini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

About the author

mzalendoeditor