Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Featured Kitaifa

TBS KANDA YA KATI YATEKETEZA BIDHAA ZA VYAKULA NA VIPODOZI

Written by Alex Sonna

Tingatinga likitetekeleza bidhaa katika Dampo la Chidaya jijini Dodoma ambavyo vimeteketezwa na Shirika  la Viwango (TBS) Kanda ya kati  zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 100.

…………………………………….

Na Alex Sonna-DODOMA

SHIRIKA la Viwango (TBS) Kanda ya kati limeteketeza Vipodozi na bidhaa za Vyakula zilizoisha Muda tani 31.2 zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 100  katika Dampo la Chidaya jijini Dodoma.

Hayo yameelezwa leo Agosti 26,2022 jijini Dodoma na Mkaguzi wa  Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Kanda ya Kati Domisiano Rutahala wakati akizungumza na Waandishi wa Habari katika dampo la Chidaya ambako ndiko bidhaa hizo  na vipodozi  vimeteketezwa.

Bidhaa na vipodozi zilizoteketezwa ni kutoka katika Mikoa ya Dodoma,Singida na Tabora na ni  kuanzia Novemba 2021 hadi Agosti 2022.

Mtaalamu huyo amesema bidhaa zilizoteketezwa ni zile zilioisha muda pamoja na vipodozi vyenye viambata vya sumu na vilivyoisha muda wake.

“Kwa ujumla bidhaa zote ni tani 31.2 sawa na  kilo 3200 zenye thamani ya shilingi  milioni 100.9,”amesema Mtaalamu huyo kutoka TBS

Amesema wanateketeza bidhaa hizo kutokana na kuwa na madhara makubwa katika mwili wa mwanadamu.

“Bidhaa za chakula ambazo zimeisha matumizi zina athari kubwa sana mojawapo kutopatikana kwa virutubisho vinavyohitajika pia zinasababisha magonjwa ya muda mrefu na mfupi kama Saratani.

Kwa upande wa vipodozi vinaathari kubwa sana kiuchumi na madhara  ya muda mfupi na mrefu kuathiri mifumo ya macho,ukuaji wa watoto na kina mama wajawazito,”amesema Mtaalamu huyo

Hata hivyo  anawaasa wafanyabiashara wote kuwa makini kwa kufanya ukaguzi wa bidhaa zao na wajiepushe na uuzaji wa bidhaa zenye viambata vya  sumu kwani vina madhara makubwa

Aidha,wanawaomba wazingatie maelekezo ya utunzaji wa bidhaa hizo ili kuendana na uzalisha pamoja na kulinda ubora wake.

Kwa upande wa  wananchi,Bw.Rutahala amewaomba  waepuke kutumia bidhaa zenye viambata vyenye sumu  na kufanya ukaguzi wa kuangalia  mwisho wa matumizi ili kuepuka madhara.

“Wafanyabiashara  tunapowakamata tuna hatua mbalimbali ambazo huwa tunazichukua zimetaja aina ya faini na hatua za kuchukua,ikiwa ni pamoja na kuzichukua bidhaa hizo na kwenda kuzitekeleteza,”amesema.

GARI likishusha Vipodozi na bidhaa zilizoisha muda wake katika Dampo la Chidaya jijini Dodoma ambavyo vimeteketezwa na Shirika  la Viwango (TBS) Kanda ya kati  zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 100.

MUONEKANO wa Vipodozi na bidhaa zilizoisha muda vikiwa vimewekwa  katika Dampo la Chidaya jijini Dodoma kwa ajili ya kuteketezwa  na Shirika  la Viwango (TBS) Kanda ya kati  zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 100.

Tingatinga likitetekeleza bidhaa katika Dampo la Chidaya jijini Dodoma ambavyo vimeteketezwa na Shirika  la Viwango (TBS) Kanda ya kati  zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 100.

Mkaguzi wa  Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Kanda ya Kati Domisiano Rutahala,akizungumza  akizungumza na Waandishi wa Habari katika dampo la Chidaya mara baada ya kuteketeza vipodozi na bidhaa za vyakula zilizoisha muda  tani 31.2 zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 100 leo Agosti 26,2022 jijini Dodoma 

About the author

Alex Sonna