Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU ATETA NA BALOZI WA AUSTRIA OFISINI MAGOGONI

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Austria, mwenye makazi yake Nairobi, Kenya anayewakilisha Tanzania, Balozi Dkt. Christian Fellner (katikati) wakati alipokutana nae katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam, Agosti 25 2022. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ETEFA GmbH, inayojihusisha na utengenezaji wa magari yanayotumia gesi asilia na ujenzi wa miundombinu ya geni asilia. 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Austria, mwenye makazi yake Nairobi, Kenya anayewakilisha Tanzania, Balozi Dkt. Christian Fellner, wakati alipokutana nae katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam, Agosti 25 2022. ((Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor