Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

ultrabet

Pusulabet

grandpashabet giriş

casibom

pokerklas

jojobet giriş

marsbahis

marsbahis

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

jojobet güncel giriş

pokerklas

royalbet giriş

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

betpark giriş

capitolbet

jojobet güncel giriş

ilbet giriş

ilbet

ilbet

ilbet giriş

bets10

bets10

bets10

Milanobet

casibom giriş

cratosroyalbet

timebet

İkimisli

onwin

cratosroyalbet

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

imajbet

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

artemisbet

kavbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

grandpashabet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

grandpashabet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu

Hacklink Panel

jojobet

vdcasino giriş

zirvebet

kavbet giriş

goldenbahis giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

artemisbet giriş

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

trendbet

marsbahis giriş

holiganbet

jojobet

holiganbet

trust score weak 3

holiganbet

Canlı Casino Siteleri

stake giriş

jojobet güncel

jojobet adres

jojobet giriş

jojobet

jojobet

pokerklas

jojobet giriş

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

mobilbahis

imajbet

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

betpas

1xbet giriş

holiganbet giriş

restbet

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

dizipal

casibom

interbahis, interbahis giriş

kulisbet, kulisbet giriş

aresbet, aresbet giriş

superbetin

meritking

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

royalbet

cratosroyalbet

stake

bets10 güncel giriş adresi

tempobet

jojobet giriş

perabet

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

piabet

alobet, alobet giriş

holiganbet

piabet

piabet

marsbahis

dental implants turkey

robinbet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

turkey dental implants

dental implants turkey

betturkey

teosbet

grandpashabet

gameofbet

marsbahis giriş

grandpashabet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino giriş

jojobet

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

pokerklas

pokerklas

mavibet

meritking giriş

meritking

marsbahis

betsmove

betsmove

mavibet

holiganbet giriş

jojobet

marsbahis

jojobet giriş

pokerklas

holiganbet

marsbahis

holiganbet

sekabet

Hacklink panel

betturkey

holiganbet

grandpashabet

holiganbet

jojobet giriş

holiganbet

holiganbet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

marsbahis

jojobet

meritking

bahsegel

bahsegel giriş

betturkey

betturkey giriş

sahabet giriş

meritking giriş

meritking

truvabet

betgaranti

betoffice

piabet

Bet365 Giriş

ilbet

ilbet giriş

turkey dental implants

roketbet 2026

vdcasino

casibom

deneme bonusu

jojobet

klasbahis

jasminbet

stresser

free stresser

ip stresser

stresser test

free ip stresser

runtobet

runtobet giriş

1xbet

pokerklas

betine

jojobet

Featured Kitaifa

USAID KUBORESHA HUDUMA ZA USTAWI WA JAMII TANZANIA

Written by Alex Sonna
Picha ya magari matatu ambayo yametolewa kwa Ofisi ya Rais TAMISEMI; Wizara za Afya; Wizara ya Maendelo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu.
………………………
Shirika la Marekani la Maendelo ya Kimataifa (USAID) kupitia Mradi wa ACHIEVE unaotekelezwa na Shirika la Pact Tanzania limetoa magari matatu kwa Serikali ya Tanzania. Thamani ya magari haya ni Shilingi 236,555,851 za Kitanzania na yametolewa kwa ajili ya kurahisisha utendaji na uratibu wa sera katika huduma za ustawi wa jamii, afya ya jamii na huduma kwa watoto waishio katika mazingira hatarishi katika Ofisi ya Rais TAMISEMI, Wizara ya Afya na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu. Magari yaliyotolewa ni pamoja na Landcruiser Hardtop (2) na Landcruiser Prado (1).
 
 
Magari haya yanakusudiwa kutumika na Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe Iliyopo katika Ofisi ya Rais TAMISEMI; Idara ya Ustawi wa Jamii iliyopo katika Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu; na Kitengo cha Elimu Afya katika Wizara ya Afya.
 
 
Mawaziri, Makatibu wakuu, na Watendaji katika Wizara hizi lengwa wamepongeza juhudi hizi zenye mlengo wa kuimarisha na kutengeneza uratibu endelevu na madhubuti wa utekelezaji wa sera. “Hatua hii ni sehemu ya ndogo tu katika bahari ya mafanikio mengi yanayotokana na ubia kati ya Serikali ya Marekani na Serikali ya Tanzania.
 
 
 USAID kupitia Mradi wa ACHIEVE imechochea kupatikana kwa matokeo makubwa katika uimarishaji wa mifumo ya huduma za ustawi wa jamii ikiwemo utengenezeaji wa miongozo, na uwezeshaji wa wa utekelezaji wa sera na mikakati mbalimbali,” alisema Dkt. Zainab Chaula, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu.
 
 
Katiba hotuba yake, Kiongozi wa Huduma za Kijamii kutoka USAID Tanzania, Ifeyingwa Udo aliasa Serikali ya Tanzania kuendelea kuwekeza na kutenga raslimali kwa ajili ya afua za kimkakati katika utoaji wa huduma za kijamii ili kuwezesha makundi yaliyo katika mazingira hatarishi na yenye kukabiliwa na umaskini kupata huduma stahiki.
 
 “Utengenezaji wa mifumo imara ya utoaji wa huduma za kijamii kwa makundi yaliyo katika mazingira hatarishi ni sehemu ya vipaumbele vya Serikali ya Marekani. Makabidhiano ya Magari haya ni hatua muhimu katika kuhakikisha uratibu wa sera wenye tija katika utekelezaji. Tunaahidi kuendelea kufanya kazi na Serikali ya Tanzania ili kuimarisha mifumo hii muhimu kwa kujengea jamii ustahimilivu na kuwaungisha watu walio katika mazingira hatarishi na huduma kama upimaji wa Virusi vya UKIMWI, matibabu na matunzo kwa watu waishio na maambukizi ya Virusi vya UKIMWI,” alisema Ifeyinwa.
 
 
Tangu mwaka 2020, Mradi wa ACHIEVE umekuwa ukifanya kazi na Serikali ya Tanzania kupitia uwezeshaji wa kitaalamu na hata kifedha. Uwezeshaji huu umetumika kutengenezea sera, miongozo na kutoa mafunzo katika kada za ustawi wa jamii, na afya ya jamii ili kuboreha upatikanaji wa huduma kwa watoto waishio katika mazingira hatarishi, vijana balehe na watu waishio na maambukizi ya Virusi vya UKIMWI.
 
 
Akizungumza wakati wa makabidhiano haya, Mkurugenzi Mkazi wa Pact Tanzania ambaye pia ni Mkurugenzi wa Mradi wa ACHIEVE, Levina Kikoyo alisema “Mifumo imara ya utoaji wa huduma za ustawi wa jamii huraghabisha kasi na ubora wa maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Tunafanya kazi ya kuboresha mifumo hii ili kuwezesha ujumuishwaji wa makundi yaliyo katika mazingira hatarishi katika uzalishaji na shughuli nyinginezo za kiuchumi, kuhimili na kutokomeza majanga kama VVU na UKIMWI, na pia kurahisisha upatikanaji wa huduma za afya. Aidha kupitia kazi hii, tunachochea ushiriki wa wadau wengine kama sekta binafsi na mtu mmoja mmjoa kushiriki katika kuimarisha huduma za ustawi na afya ya jamii.”
 
 
ACHIEVE ni mradi wa miaka mitano (2019-2024) unaotekelezwa katika nchi tisa duniani. Mradi huu unafadhiliwa na Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID). Kwa Tanzania, ACHIEVE ni mradi wa miaka minne (2020-2024) unaolenga katika kuboresha huduma za kukabiliana na Virusi vya UKIMWI (VVU) miongoni mwa watoto waishio katika mazingira hatarishi. Kufikia lengo hili, Mradi wa ACHIEVE unatoa huduma kwa watoto waishio katika mazingira hatarishi na kutekeleza afua ya DREAMS.
 
 
 Pia, Mradi wa ACHIEVE umelenga kuboresha mifumo ya huduma za ustawi wa jamii ili kuboresha ubora na upatikanaji wa huduma hizo. Vilevile, Mradi wa ACHIEVE unajengea uwezo na kuzisaidia AZAKI za wazawa kuwa na mifumo rasmi na imara ya kiutendaji kwa ajili ya huduma endelevu katika ngazi ya jamii. Mradi wa ACHIEVE unatekelezwa katika Halmashauri 95 zilizopo katika Mikoa 26 ya Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar. 
 
 
Mradi wa ACHIEVE unatekelezwa na Shirika la Pact kama Shirika Kiongozi kwa ubia na mashirika ya Palladium, No Means No, na WI-HER. Wabia hawa wanatekeleza mradi wa kusaidiana na AZAKI za wazawa.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu akikata utepe wa gari kuashiria uzinduzi wa gari baada ya makabidhiano ya gari. Kushoto kwake ni Kiongozi wa Huduma za Kijamii kutoka USAID Tanzania, Dr. Ifeyanwa Udo
Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Zainab Chaula akiendesha gari lililotolewa kwa Wizara hiyo kama ishara ya kulipokea rasmi.
Picha ya magari matatu ambayo yametolewa kwa Ofisi ya Rais TAMISEMI; Wizara za Afya; Wizara ya Maendelo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu.
Mkurugenzi Mkazi wa Pact Tanzania ambaye pia ni Mkurugenzi wa Mradi wa ACHIEVE; Bi Levina Kikoyo akizungumza na waandishi wa Habari mara baada ya makabidhiano ya gari

About the author

Alex Sonna