Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

millibahis giriş

betlivo

betra

meritking giriş

marsbahis

meritking

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

aresbet

betcool

avrupabet

vipslot

betcool

realbahis

betmarino

casibom

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

coinbar

timebet

betpas

betpark giriş

holiganbet

betpark

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

matbet, matbet giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

vaycasino giriş

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

onlyfans leaks

süratbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

jojobet giriş

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

jojobet

onlyfans leak

holiganbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

casibom

holiganbet

mavibet

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

sapanca bungalov kiralama

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

mavibet giriş

betlike giriş

coinbar

coinbar

artemisbet

mavibet

artemisbet giriş

mavibet

artemisbet giriş

betlike

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

marsbahis, marsbahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

betsat giriş

sekabet güncel giriş

casinoroyal

casibom

ultrabet

casibom

casibom

casibom

grandpashabet

ultrabet

grandpashabet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

pusulabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

goldenbahis

ngsbahis

betpuan

restbet

yakabet

betplay

Featured Kitaifa

BENKI YA NBC YAHITIMISHA USHIRIKI WAKE MAONESHO NANENANE KWA MAFANIKIO,YAIBUKA KINARA TAASISI ZA FEDHA

Written by Alex Sonna

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Bw. Theobald Sabi (kushoto) akikabidhi zana ya kilimo mahususi kwa uvunaji wa mpunga kwa mmoja wa wateja wa benki hiyo ambae ni mkulima Bw Stephano Msigwa kwenye Maonesho ya Kilimo Nanenane yaliyokuwa yakifanyika katika Uwanja wa John Mwakangale mkoani Mbeya. Benki hiyo iliibuka kinara wa tuzo ya kundi la taasisi za fedha na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii zilizoshiriki maonesho hayo Kanda ya Kusini.

Mkuu wa kitengo cha wateja wadogo wadogo, Lariba na wakulima kutoka Benki ya NBC Bw Raymond Urassa (katikati) akimtambulisha mmoja wa mmoja wa wateja wa benki hiyo ambae ni mkulima Bw Stephano Msigwa  (Kushoto) kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Bw. Theobald Sabi (kulia) wakati wa Maonesho ya Kilimo Nanenane yaliyokuwa yakifanyika katika Uwanja wa John Mwakangale mkoani Mbeya. Benki hiyo iliibuka kinara wa tuzo ya kundi la taasisi za fedha na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii zilizoshiriki maonesho hayo Kanda ya Kusini.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Bw. Theobald Sabi (kushoto) akisaini kitabu cha wageni alipofika kwenye banda la maonesho ya benki hiyo kwenye Maonesho ya Kilimo Nanenane yaliyokuwa yakifanyika katika Uwanja wa John Mwakangale mkoani Mbeya.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Bw. Theobald Sabi (kushoto) akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa benki ya NBC alipofika kwenye banda la maonesho ya benki hiyo kwenye Maonesho ya Kilimo Nanenane yaliyokuwa yakifanyika katika Uwanja wa John Mwakangale mkoani Mbeya. Anaeshuhudia ni Meneja wa Benki hiyo tawi la Mbeya Bi Asia Mselemu (Katikati).  

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Bw. Theobald Sabi (kushoto) akisalimiana na mmoja wa wajasiriamali walioshiriki  Maonesho ya Kilimo Nanenane yaliyokuwa yakifanyika katika Uwanja wa John Mwakangale mkoani Mbeya kwa ufadhili wa benki hiyo.

Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NBC pamoja na wadau wengine wa benki hiyo wakiwa kwenye picha ya pamoja kwenye banda la maonesho ya benki hiyo lililopo kwenye Maonesho ya Kilimo Nanenane yaliyokuwa yakifanyika katika Uwanja wa John Mwakangale mkoani Mbeya.

………………………………..

Na Mwandishi Wetu -Mbeya

 Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imekamilisha ushiriki wake kwenye Maonesho ya Kilimo Nanenane yaliyokuwa yakifanyika katika Uwanja wa John Mwakangale mkoani Mbeya kwa mafanikio makubwa ikiibuka kinara wa tuzo ya kundi la taasisi za fedha na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii zilizoshiriki maonesho hayo Kanda ya Kusini.

Katika Maonesho hayo yaliyohitimishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassani jana,  ilishuhudiwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Bw. Theobald Sabi akikabidhiwa tuzo na waandaaji wa maonesho hayo ikiwa ni ishara ya kutambua umahiri, mchango na ushiriki wa taasisi hiyo katika kufanikisha maonesho hayo ya wadau wa kilimo.

“Tuzo hii ni uthibitisho kuwa jitihada kubwa zinazofanywa na Benki ya NBC kuhakikisha kwamba tunakuwa karibu zaidi na wadau wa kilimo kwa namna mbalimbali ikiwemo utoaji wa huduma zetu hadi ushiriki wetu kwenye shughuli zinazowahusisha wadau wa kilimo zinatambulika na kuthaminika vizuri mbele ya wadau…tunashukuru sana waandaaji wa maonesho haya kwa heshima waliyotupa nasi tunaahidi kundelea kuwa karibu nao pamoja na wadau wote wa kilimo kwa ujumla,’’ alisema Bw Sabi.

Akizungumzia ushiriki wa benki hiyo kwenye maonesho hayo Bw Sabi alisema ni muendelezo wa jitihada za benki hiyo katika kuendeleza na kukuza sekta ya kilimo hapa nchini kupitia mpango wake mahususi unaofajamika  kama ‘NBC Shambani’ ukihusisha mnyororo wote wa sekta ya kilimo kuanzia kwa mkulima, mchakataji wa mazao ya kilimo hadi msambazaji kuendelea kujiweka karibu zaidi na wadau wa sekta hiyo muhimu.

“Kupitia Maonesho haya tumepata fursa ya kutangaza huduma zetu zinazohusiana na sekta nzima ya  kilimo pamoja na kupokea mrejesho wa huduma hizo kutoka kwa wakulima na wadau wengine wengi wakiwemo viongozi mbalimbali waliotembelea banda letu wakiwemo wakuu wa mikoa na wilaya, wabunge,  Mawaziri na viongozi wengine waandamizi wa kitaifa akiwemo Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Dkt.Tulia Ackson.’’

“Wote hawa walitoa maoni yao na walionesha kuvutiwa na huduma zetu. Tunaahidi kuyafanyia kazi maoni yote waliyotupatia …tunawashukuru sana ’’ alisema Sabi.

Kwa upande wake Mkuu wa kitengo cha wateja wadogo wadogo, Lariba na wakulima kutoka Benki ya NBC Bw Raymond Urassa alisema tangu kuanza kwa maonesho hayo hadi kukamilika kwake wamefanikiwa kukutana na wadau mbalimbali wa sekta hiyo muhimu huku wengi wakionesha kuvutiwa zaidi na na huduma ya Bima ya Kilimo inayotolewa na benki hiyo pekee hapa nchini  kwa kushirikiana na kampuni ya Bima ya Jubilee Insurance.

“Bima hii inalenga kuwalinda wakulima, wavuvi na wafugaji nchini dhidi ya hasara pindi wanapopata majanga mbalimbali yanayoweza kuathiri uzalishaji wao. Tunashukuru kuona kupitia maonesho haya wadau wameonesha kuipokea vizuri zaidi hali ambayo inazidi kutupa nguvu zaidi na ari ya kuendelea kubuni huduma mpya. Tunaamini kwamba kupitia maoni tuliyoyapata kutoka kwa wadau waliotutembelea siku chache hizi yatatuwezesha kubuni huduma bora zaidi zinazoendana na mahitaji ya wadau husika,’’ aliahidi.

Ushiriki wa Benki ya NBC kwenye maonesho hayo ulivutia wadau mbalimbali waliotembelea banda la benki hiyo akiwemo Dkt Tulia ambae alionyesha kuvutiwa zaidi na huduma ya Bima ya Kilimo.

“Pamoja na huduma zote nzuri mnazozitoa benki ya NBC kwa wakulima nimevutiwa sana na huduma ya Bima ya kilimo kwa wakulima. Nimevutiwa zaidi  baada ya kusikia tayari kuna wakulima wa tumbaku huko mkoani Tabora wameshanufaika na huduma hii. Hiki ni kithibitisho tosha kuwa huduma hii inatekelezeka…hongereni sana kwa kuonesha njia,’’ alipongeza Dkt Tulia.

About the author

Alex Sonna