Featured Michezo

TANZANIA YATUPWA NJE FAINALI ZA AFRIKA SOKA LA UFUKWENI

Written by mzalendoeditor

TANZANIA imetupwa nje kwenye kinyang’anyiro cha tiketi ya Fainali za Soka la Ufukweni Afrika licha ya ushindi wa 7-6 jioni ya leo ufukwe wa Coco Jijini Dar es Salaam.
Malawi inafuzu kwa faida ya mabao ya ugenini baada ya sare ya jumla ya 9-9 kufuatia ushindi wa 3-2 kwenye mchezo wa kwanza nyumbani.

About the author

mzalendoeditor