Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

starzbet

starzbet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

jojobet

holiganbet

jojobet

maxwin

meritking

https://www.newstrendline.com/

grandpashabet

ultrabet giriş

lunabet

norabahis

setrabet

jojobet giriş

holiganbet giriş

timebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

vipslot

vipslot

realbahis

mavibet giriş

mavibet

royalbet giriş

mavibet giriş

norabahis giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

norabahis giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

norabahis

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betpark

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

maxwin giriş

dinamobet giriş

casibom

vaycasino

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

vaycasino

ultrabet

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu veren siteler

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

casibom

royalbet

casibom

kafacasino

betface

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

pusulabet

betsat

betsat

vdcasino

jojobet

casibom

matbet

Jojobet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

royalbet

artemisbet

artemisbet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

betwild

jojobet

Featured Kitaifa

RC MTAKA AKABIDHI OFISI KWA RC MPYA

Written by Alex Sonna

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,Rosemary Senyamule,akipokelewa na watumishi wa Mkoa wa Dodoma mara baada ya kuwasili katika ofisi zake mpya baada ya kuhamishiwa Dodoma na kutoka Mkoa wa Geita leo Agosti 4,2022 jijini Dodoma. 

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,Rosemary Senyamule,akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika ofisi zake mpya baada ya kuhamishiwa Dodoma akitokea  Mkoa wa Geita leo Agosti 4,2022 jijini Dodoma. 

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,Rosemary Senyamule,akiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa huo ambaye kwa sasa amehamishiwa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka wakisaini nyaraka kabla ya kukabidhiana Ofisi leo Agosti 4,2022 jijini Dodoma. 

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,Rosemary Senyamule,akiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa huo ambaye kwa sasa amehamishiwa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka wakikabidhiana nyaraka za Ofisi  leo Agosti 4,2022 jijini Dodoma. 

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma ambaye kwa sasa amehamishiwa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka,akizungumza maa baada ya kumkabidhi Ofisi Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule makabidhiano hayo yamefanyika  leo Agosti 4,2022 jijini Dodoma. 

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule,akimpongeza aliyekuwa Mkuu wa Mkoa huo Anthony Mtaka ambaye amehamishiwa Mkoa wa Njombe kwa kazi aliyoifanya na kuahidi kuendeleza majukumu hayo mara baada ya kukabidhiwa Ofisi hiyo  leo Agosti 4,2022 jijini Dodoma. 

Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Fatma Mganga,akizungumza mara baada ya kumpokea Mkuu wa Mkoa Mpya wa Mkoa huo Rosemary Senyamule leo Agosti 4,2022 jijini Dodoma.

SEHEMU ya Wakuu wa Wilaya pamoja na watumishi wa Mkoa wa Dodoma wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule, mara baada ya kukabidhiwa Ofisi na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa huo Anthony Mtaka ambaye amehamishiwa Mkoa wa Njombe leo Agosti 4,2022 jijini Dodoma. 

……………………………

Na Eva Godwin-DODOMA

MKUU wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule amehaidi kuyaendeleza yale ambayo ameyaacha aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka kwa kuzingatia kanuni na sheria za kazi.

Ameyasema hayo Leo Agosti 4,2022 wakati wa makabidhiano ya ofisi na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Wa Dodoma Mh.Anthony Mtaka Jijini Dodoma.

Amesema Atatekeleza na kufanya yale aliyoyafanya mtaka kwa kuzingatia kanuni na taratibu zote .

“Ntayaendeleza uliyofanya na uliyoyahaidi kwa kuzingati sheria ya kazi na nimeona Mmefanya kazi kubwa na nimethibitisha kwa hizi dokumenti ambazo mmenikabidhi.

“Nimeona kazi mlizofanya chini ya Mwaka Mmoja lakini Mmenikabidhi mpango kazi kuanzia 2021-2022 na 2023-2025 inamaana ndio umeanza utekelezaji hivi karibuni mmenifanya sasa kuwa mwepesi na kujiona sina kazi kubwa ya kutafakari nini cha kufanya kwasababu teyari kilakitu kimeshawekwa kwenye mpango mkakati wa miaka mitano (5) kazi yangu kubwa tu ni kufanya sasa haya yatokee yasibaki kwenye makaratasi”.Amesema Senyamule

Kwa upande wake aliyekuwa Mkuu wa Mkoa huo ambaye kwa sasa amehamishiwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka afanya amesema Katika Mikoa ambayo amefanya kazi Dodoma ni Mkoa wa Kipekee tangu ameingia katika utendaji wake wa kazi, kutokana na uchapakazi kutoka kwa watendakazi pamoja na ushirikiano uliopo kutoka Mkoani humo.

“Nina marafiki wengi kutoka Serikalini lakini nimefanya kazi na Fatma ni Mtu mzuri na ni raha sana kufanya kazi na mtu mwenye roho nzuri kwasababu anajua wajibu wake bila kupelekeshwa”,amesema Mtaka

“Kwa hiyo Mh. Rosemary unakatibu ambae ni Material kwa kitu chochote ambacho utamuagiza kwasababu ukifanya kazi na Mtu mwenye roho nzuri na ofisi yenu inakuwa yenye maendeleo na ni Mtu ambe ni mshirikishaji sana”.Amesema Mtaka

Ameongezea kwakusema Mkoa wa Dodoma ni Mkoa wenye matamanio sana Na kuna fursa nyingi kwa Wanafunzi wenye degree kufanya kazi kwa kujitolea.

“Vijana ambao Mungu hajawapa hajira wa vyuo vikuu nilijitahidi kuwapa fursa wapate nafasi ya kujitolea kwenye ofisi yetu na wakati mwingine niliona nijambo ambalo linaweza likawakwaza sana lakini walijitahidi

“kwasababu ukiwauliza wanakwambia hawajawai kujitolea sehemu yoyote kwaio nilazima wajitolee ili wajekuingia kwenye mfumo wa kazi na ninajua hili Mh.Rosemary utaliendeleza”.Alisema Mtaka

Naye Katibu Tawala Mkoa Wa Dodoma, Fatma Mganga,amesema kuwa  Mkoa wa Dodoma unaumoja kutokana na Mtaka alijitahidi kuweka kila Mdau kwa kila tukio.

“Mh.Rosemary Mkoa wa Dodoma tunaumoja wa hali ya juu na hii inatokana na Mh.Mtaka kuwapa kipaumbele wadau kila kwenye tukio na ndio maana leo umekaribishwa na jopo la Watu wengi hapa Jinini Kwetu”,amesema

“Hii ni Mbegu ambayo ametuachia sisi Wanadodoma na katika kufanya kazi pia tunashirikiana vizuri sana kwaio hili ni jambo tu la kumpongeza Mh.Mtaka”.Amesema Mganga

Amesema Kama kiongozi hujajipanga katika Mkoa huu utakuyumbisha kutokana na Ukubwa wa Mkoa wa Dodoma

“Mkoa wa Dodoma ni Mkubwa sana kwaio kama kiongozi hujajipanga Mkoa unaweza kukuyumbisha na pia tunamshukuru tu Mungu kuna viongozi mahari katika Mkoa wetu kuanzia wakurugenzi,Wakuu wa Wilaya

“Na sisi hatujawai kuwa Namba za Ajabu katika kila endiketa ya Nchi hii na ninavyozungumza hapa Sisi Dodoma ndio tumeongoza katika chanjo ya Uviko 19”.Amesema

About the author

Alex Sonna