Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

marmaris escort

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

ibizabet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

imajbet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

türk porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

grandpashabet

grandpashabet giriş

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet güncel giriş

girne escort

magusa escort

slot siteleri

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

starzbet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

Featured Kitaifa

MFUMO WA UDHIBITI UBORA WA TAKWIMU ZA RASILIMALI ZA MAJI KUTUMIKA NCHINI

Written by Alex Sonna

Mkurugenzi wa Huduma za Sheria Wizara ya Maji, Simon Nkanyemka akizungumza   wakati akihitisha mafunzo ya Quality Management System (QMS) kwa niaba ya Katibu   Mkuu Wizara ya Maji yaliyofanyika jijini Dodoma.

Kaimu Mkurugenzi Rasilimali za Maji Wizara ya Maji, Robert Sunday akizingumza katika hafla ya kuhitimisha mafunzo ya Quality Management System (QMS)  yaliyofanyika jijini Dodoma.

Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya mafunzo ya awamu ya nne ya Quality Management System (QMS) yaliyofanyika jijini Dodoma.

Mwakilishi wa mabonde, Paschal Kutaw kutoka Bodi ya Maji ya Bonde la Wami-Ruvu
akitoa taarifa ya mafunzo ya Quality Management System (QMS) yaliyofanyika jijini
Dodoma.

Mwakilishi wa Shirika la Kimataifa la Ujerumani (GiZ), Sylvand Kamugisha akizungumza katika hafla ya kuhitimisha mafunzo ya Quality Management System (QMS)  yaliyofanyika jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Huduma za Sheria Wizara ya Maji, Simon Nkanyemka akitoa cheti kwa Perpetua Massaga kutoka Bodi ya Maji ya Bonde la Ziwa Victoria miongoni mwa washiriki wa mafunzo ya Quality Management System (QMS)  yaliyofanyika jijini Dodoma.

Mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Huduma za Sheria Wizara ya Maji, Simon Nkanyemka  akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mafunzo ya Quality Management System (QMS)  yaliyofanyika jijini Dodoma.

…………………………………………….

Mkurugenzi wa Huduma za Sheria Wizara ya Maji, Simon Nkanyemka amesema Serikali imeanza rasmi matumizi ya  mfumo wa uthibiti ubora wa takwimu za rasilimali za maji -Quality Management System (QMS) kwa lengo la kuboresha utendaji kazi wa bodi za maji za mabonde nchini.

Nkanyemka amesema mfumo huo umeanza kutumika rasmi Julai Mosi, 2022 na kila Bodi ya Maji ya Bonde  inaendelea kutoa taarifa ya utekelezaji wake wa kila wiki. Nkanyemka ameyasema hayo wakati akihitimisha mafunzo Quality Management (QMS) yalioandaliwa na Wizara ya Maji kwa kushirikiana na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) pamoja na Shirika la Kimataifa la Ujerumani (GiZ) yaliyofanyika jijini Dodoma.

Akihitimisha mafunzo hayo kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizara ya Maji, amesema kuwa lengo kuu la mafunzo ya QMS ni kuboresha utendaji wa shughuli ya msingi za mabonde ya usimamizi na uendelezaji wa rasilimali za maji kwa kutumia takwimu sahihi za wingi na ubora zitakazofanikisha kutimiza malengo ya Serikali ya muda mfupi, kati na mrefu.

“Jukumu la msingi la Wizara ya Maji ni kusimamia Sera na Sheria katika kuhakikisha upatikanaji wa huduma ya maji ya uhakika mijini na vijijini, jukumu ambalo litafanikiwa kuweka mikakati madhubuti ya usimamizi wa rasilimali za maji kwa kuwa na takwimu sahihi zitakazosaidia kutimiza malengo ya Wizara”, Nkanyemka amefafanua.

“Kwa kulitambua hilo Wizara ya Maji kwa kushirikiana na Shirika la Kimataifa la Ujerumani (GiZ) limeandaa mafunzo hayo ili kuimarisha eneo la ukusanyaji wa takwimu sahihi za hali ya maji, hatua itakayowawezesha mabonde yote yaweze kupata vyeti vya ithibati vya ubora utakaotokana ufanisi wa mabonde hayo”, Nkanyemka amesema.

Mkurugenzi Nkanyemka amesema mfumo huo utakuwa mwarobaini wa baadhi ya changamoto ikiwemo ukusanyaji hafifu wa maduhuli kupitia ukusanyaji wa takwimu sahihi za watumia maji, ambazo zitainua kiwango cha ukusanyaji wa maduhuli yatakayotumika kuimarisha shughuli za usimamizi wa rasilimali za maji kwenye ngazi za mabonde.

Awali, Kaimu Mkurugenzi Rasilimali za Maji Wizara ya Maji, Robert Sunday amesema mafunzo hayo yamekuwa na mafanikio makubwa ambapo washiriki zaidi ya 200 wameshiriki na kufuzu mafunzo hayo, nyaraka 373 za QMS zimeandaliwa na zimeanza kutumika rasmi pamoja na utekelezaji rasmi wa QMS kwa mabonde yote tisa nchini ambayo ni Bodi za Maji za Mabonde ya Rufiji, Wami-Ruvu, Kati, Ruvuma na Pwani ya Kusini, Mto Pangani, Ziwa Victoria, Ziwa Tanganyika, Ziwa Rukwa na Ziwa Nyasa.

Akizungumza kwa niaba ya wawakilishi wa mabonde, Paschal Kutaw kutoka Bodi ya Maji ya Bonde la Wami-Ruvu amesema washiriki wamepata mafunzo ya kufanya ukaguzi wa ndani wa QMS kwa kufuata mwongozo wa  Shirika ka Viwango Duniani (ISO) 9001:2015, akisisitiza kuwa mafunzo hayo yataboresha utendaji wa kazi katika ukusanyaji, uchakataji na uandaaaji wa taarifa za rasilimali za maji katika mabonde.

Quality Management Assesment (QMS) ni mfumo wa kuboresha utendaji kazi wa ukusanyaji, uchakataji wa takwimu na utoaji wa taarifa ya rasimali maji katika mabonde ili kukidhi viwango kutokana na miongozo mbalimbali iliyopo ndani na nje ya nchi.

Mafunzo ya QMS yamefanyika kwa awamu nne katika mikoa ya Dodoma, Iringa, Morogoro  na Kilimanjaro kuanzia mwezi Aprili –  Julai, 2022 yaliyoshirikisha zaidi ya washiriki 200 kutoka makao makuu Wizara ya Maji na mabonde tisa ya maji nchini.

About the author

Alex Sonna