Featured Kitaifa

WAZIRI BALOZI DKT.CHANA ATETA NA BALOZI WA JAMHURI YA WATU WA CHINA NCHINI TANZANIA, MHE.CHEN MINGJIAN

Written by mzalendoeditor

 

Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana leo Agosti 2, 2022 jijini Dar es salaam amekutana na kufanya Mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania, Mhe.Chen Mingjian kwa lengo la kuimarisha ushirikiano katika maeneo mbalimbali ya Uhifadhi na uendelezaji Utalii hapa nchini.

About the author

mzalendoeditor