Featured Michezo

RISASI YAIFUMUA KOLANDOTO BONANZA LA MICHEZO CHUO CHA SAYANSI ZA AFYA KOLANDOTO

Written by mzalendoeditor
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Mganga Mkuu wa Manispaa ya Shinyanga Dkt. Elisha Robert amewashauri vijana kufanya mazoezi na kushiriki michezo ili kuimarisha afya zao na kupata fursa za ajira kwani michezo sasa inatoa ajira.
 
Dkt. Elisha ametoa ushauri huo leo Jumapili Julai 31,2022 wakati wa Bonanza la michezo lililoandaliwa na Mkurugenzi wa Kola Online TV na mtumishi wa Chuo cha Sayansi za Afya Kolandoto Shinyanga Josephine Charles lililofanyika katika uwanja wa Chuo hicho.
 
Amesema ni vyema vijana wakashiriki michezo na kuhamasisha vijana wenzao kushiriki michezo kwa sababu mazoezi yanaimarisha afya hivyo kuepuka magonjwa lakini pia michezo inatoa ajira.
 
Akizungumza wakati wa Bonanza hilo ambalo pia limehusisha wana michezo wa mpira wa Kikapu wa Risasi Mjini Shinyanga na wanafunzi wa Chuo cha Sayansi za Afya Kolandoto Josephine amesema lengo ni kufahamiana,kujenga mahusiano ya kimichezo,kujenga Afya kwa kuwa michezo ni sehemu ya mazoezi na mazoezi ni Afya,kuinua vipaji vya michezo,kusaidia kuchangia vifaa vya michezo.
 
“Lengo lingine ni kuwashukuru wale wote walionitakia matashi mema katika kumbukizi ya tarehe niliyozaliwa 23 Julai na kutangaza chuo chetu cha Sayansi za afya Kolandoto kwa sababu watu wakija kucheza kwenye viwanja vyetu wataona mazingira na watahamasika kuleta watoto kuja kusomea Fani mbalimbali zinazofundishwa chuoni kwetu”,amesema Josephine
 
“Tangu 2019 hadi sasa imekuwa ni desturi yangu katika mwezi na tarehe niliyozaliwa kutoa sadaka tofauti,hivyo kwa mwaka huu nimeamua nitoe sadaka kwa wanamichezo lengo pia vipaji vyao vionekane kitaifa ingawa huwa nafanya mabonanza ya michezo tofauti na mwezi niliozaliwa kwa kukutanisha wachezaji kutoka timu tofauti kwa kuwa napenda sana michezo”,amesema Josephine.
 
“Nimeona Changamoto ya nyavu ya mchezo wa Volleyball imechakaa, nitawapatia nyavu mpya mwisho wa mwezi kwa kuwa pia mpira wa wavu (Volleyball) ndiyo ninaoucheza,nitahakikisha vijana hawapati changamoto kwenye michezo kwa kuwa michezo ni ajira”,ameongeza.
 
Katika matokeo ya mchezo wa mpira wa Wavu (Valleyball) timu ya Kolandoto A waliibuka na ushindi wa seti 2-1 dhidi ya Kolandoto B na kwa upande wa matokeo ya Mpira wa Kikapu (Basketball) timu ya Risasi ya Shinyanga Mjini iliibuka mshindi kwa kupata Pointi 37 dhidi ya timu ya Kolandoto iliyopata pointi 23 ambapo timu zote zimeondoka na zawadi ya mpira mmoja mmoja na fedha.
 
Aidha wachezaji wote na wadau mbalimbali walioshiriki bonanza hilo walishiriki kukata na kula keki maalumu iliyoandaliwa na mdau wa michezo Josephine Charles aliyoandaa kwa ajili ya kuwashukuru wadau mbalimbali waliomtakia heri wakati akisherehekea kumbukumbu yake ya kuzaliwa Julai 23.
Mchezo wa mpira wa Wavu (Valleyball) kati ya timu ya Kolandoto A na Kolandoto B ukiendelea ambapo Kolandoto 1 waliibuka na ushindi wa seti 2-1 dhidi ya Kolandoto B wakati wa Bonanza la Michezo lililoandaliwa na Mkurugenzi wa Kola Online TV na mtumishi wa Chuo cha Sayansi za Afya Kolandoto Shinyanga Josephine Charles lililofanyika katika uwanja wa Chuo hicho leo Jumapili Julai 31,2022. Picha zote na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Mchezo wa mpira wa Wavu (Valleyball) kati ya timu ya Kolandoto A na Kolandoto B ukiendelea ambapo Kolandoto 1 waliibuka na ushindi wa seti 2-1 dhidi ya Kolandoto B 

Mchezo wa mpira wa Kikapu (Basketball) kati ya timu ya Risasi ya Mjini Shinyanga (wenye jezi nyeupe) na timu ya Chuo cha Sayansi za afya Kolandoto ukiendelea ambapo timu ya Risasi ya Shinyanga Mjini iliibuka mshindi kwa kupata Pointi 37 dhidi ya timu ya Kolandoto iliyopata pointi 23

Keki maalumu iliyoandaliwa na mdau wa michezo Josephine Charles aliyoandaa kwa ajili ya kuwashukuru wadau mbalimbali waliomtakia heri wakati akisherehekea kumbukumbu yake ya kuzaliwa Julai 23. Wadau wa michezo walioshiriki Bonanza la Michezo katika Chuo cha Sayansi za afya Kolandoto wamekata na kula keki hiyo kwa niaba ya wadau wote walio mu – Wish Happy Birthday Josephine Charles!

Mkurugenzi wa Kola Online TV na mtumishi wa Chuo cha Sayansi za Afya Kolandoto Shinyanga Josephine Charles akizungumza wakati wa Bonanza la michezo lililofanyika katika uwanja wa Chuo hicho likienda sanjari na kukata na kula keki maalumu aliyoandaa kwa ajili ya kuwashukuru wadau mbalimbali waliomtakia heri wakati akisherehekea kumbukumbu yake ya kuzaliwa Julai 23.

Mganga Mkuu wa Manispaa ya Shinyanga Dkt. Elisha Robert akizungumza wakati wa Bonanza la michezo lililoandaliwa na Mkurugenzi wa Kola Online TV na mtumishi wa Chuo cha Sayansi za Afya Kolandoto Shinyanga Josephine Charles lililofanyika katika uwanja wa Chuo hicho.

Vijana wakisikiliza nasaha mbalimbali wakati wa Bonanza la michezo lililoandaliwa na Mkurugenzi wa Kola Online TV na mtumishi wa Chuo cha Sayansi za Afya Kolandoto Shinyanga Josephine Charles lililofanyika katika uwanja wa Chuo hicho.
Mganga Mkuu wa Manispaa ya Shinyanga Dkt. Elisha Robert akikabidhi zawadi ya fedha kwa Kapteini wa Timu ya Mpira wa Wavu Kolandoto A, Paschal Nyanda
Mganga Mkuu wa Manispaa ya Shinyanga Dkt. Elisha Robert akikabidhi zawadi kwa Kapteini wa timu ya mpira wa Kikapu ya Risasi ya Mjini Shinyanga, Kelvin Mushi
Mganga Mkuu wa Manispaa ya Shinyanga Dkt. Elisha Robert akikabidhi zawadi ya mpira kwa timu ya Kolandoto A
Mganga Mkuu wa Manispaa ya Shinyanga Dkt. Elisha Robert akikabidhi zawadi ya mpira kwa timu ya Risasi ya Mjini Shinyanga
Mganga Mkuu wa Manispaa ya Shinyanga Dkt. Elisha Robert akipiga picha ya kumbukumbu na wachezaji wa timu ya Risasi ya Mjini Shinyanga
Mganga Mkuu wa Manispaa ya Shinyanga Dkt. Elisha Robert akipiga picha ya kumbukumbu na wachezaji wa timu ya Kolandoto A na B
Mganga Mkuu wa Manispaa ya Shinyanga Dkt. Elisha Robert, Mkurugenzi wa Kola Online TV na mtumishi wa Chuo cha Sayansi za Afya Kolandoto Shinyanga Josephine Charles  na wanamichezo wakikata Keki maalumu iliyoandaliwa na mdau wa michezo Josephine Charles aliyoandaa kwa ajili ya kuwashukuru wadau mbalimbali waliomtakia heri wakati akisherehekea kumbukumbu yake ya kuzaliwa Julai 23.
Mganga Mkuu wa Manispaa ya Shinyanga Dkt. Elisha Robert akimlisha keki Kapteini wa timu ya mpira wa Kikapu ya Risasi ya Mjini Shinyanga, Kelvin Mushi
Mganga Mkuu wa Manispaa ya Shinyanga Dkt. Elisha Robert akimlisha keki Kapteini wa Timu ya Mpira wa Wavu Kolandoto A, Paschal Nyanda
Mganga Mkuu wa Manispaa ya Shinyanga Dkt. Elisha Robert akimlisha keki Mkurugenzi wa Kola Online TV na mtumishi wa Chuo cha Sayansi za Afya Kolandoto Shinyanga Josephine Charles
Katikati ni mwakilishi wa timu ya Kolandoto, Johannes Barnaba akitoa neno la shukrani wakati wa bonanza hilo.
Katikati ni mwakilishi wa timu ya Risasi, Yohana Hamis akitoa neno la shukrani wakati wa bonanza hilo.
 
Picha zote na Kadama Malunde – Malunde 1 blog

About the author

mzalendoeditor