Featured Kitaifa

MNADHIMU MKUU WA JWTZ AJITAMBULISHA KWA RAIS DK.MWINYI.

Written by mzalendoeditor

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Mnadhimu  Mkuu wa  JWTZ (Chief of Stuff) Luteni Generali  Salum Haji Othman,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao .  

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na  Mnadhimu  Mkuu wa  JWTZ (Chief of Stuff) Luteni Generali  Salum Haji Othman,alipofika kujitambulisha leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao Ikulu Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu

About the author

mzalendoeditor