Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

marmaris escort

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

ibizabet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

imajbet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

türk porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

grandpashabet

grandpashabet giriş

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet güncel giriş

girne escort

magusa escort

slot siteleri

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

starzbet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

Featured Kitaifa Uncategorized

WARAJIS WASAIDIZI WA MIKOA WATAKIWA KUTENGENEZA MIFUMO KUZUIA MENEJIMENTI YA VIHATARISHI

Written by Alex Sonna

KAIMU Mrajis wa Vyama vya Ushirika Tanzania Juma Mokili ambaye pia ni Mkurugenzi wa Utafiti na Mafunzo kutoka Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania akizungumza wakati alipomuwakilisha Mrajis wa Vyama vya Ushirika Benson Ndiege wakati wa kufunga mafunzo ya Menejmenti ya vihatarishi kwa warajis wasaidizi wa Mikoa katika vyama vya ushirika, mafunzo hayo yamefanyika Jijini Dodoma.

Mkaguzi Mkuu wa ndani wa serikali msaidizi wa vihatarishi, mifumo na udhibiti wa ndani kutoka Wizara ya Fedha na Mipango Abraham Msechu akizungumza wakati wa kufunga mafunzo ya warajis wasaidizi wa Mikoa yaliyofanyika Jijini Dodoma kwa lengo la kuwajengea uwezo kuhusu Menejmenti ya vihatarishi katika taasisi hiyo.

Mkaguzi Mkuu wa ndani kutoka tume ya maendeleo ya ushirika  Tanzania bi. Mwanaidi Kalela  akizungumza wakati wa kufunga mafunzo ya warajis wasaidizi wa Mikoa yaliyofanyika Jijini Dodoma kwa lengo la kuwajengea uwezo kuhusu Menejmenti ya vihatarishi katika taasisi hiyo.

Baadhi ya warajis wasaidizi wa Mikoa walioshiriki  mafunzo hayo wakifuatilia matukio wakati wa  kufunga mafunzo ya warajis wasaidizi wa Mikoa yaliyofanyika Jijini Dodoma kwa lengo la kuwajengea uwezo kuhusu Menejmenti ya vihatarishi katika taasisi hiyo.

KAIMU Majis wa Vyama vya Ushirika Juma Mokili wa pili kutoka kushoto waliokaa akiwa katika picha ya pamoja na wawezeshaji wa mafunzo hayo mara baada ya kufunga mafunzo ya warajis wasaidizi wa Mikoa yaliyofanyika Jijini Dodoma kwa lengo la kuwajengea uwezo kuhusu Menejmenti ya vihatarishi katika taasisi hiyo.

KAIMU Mrajis wa Vyama vya Ushirika  Juma Mokili wa pili kutoka kushoto waliokaa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya warajis wasaidizi wa Mikoa mara maada ya kufunga mafunzo ya warajis wasaidizi wa Mikoa yaliyofanyika Jijini Dodoma kwa lengo la kuwajengea uwezo kuhusu Menejmenti ya vihatarishi katika taasisi hiyo.

…………………………………..

Na Alex Sonna– DODOMA 

Tume ya Maendeleo ya Ushirika imewataka warajis wasaidizi wa Mikoa yote hapa nchini kuhakikisha wanaandaa mfumo madhubuti wa manejmenti ya vihatarishi katika ofisi zao ili kuandaa mipango ya tume na kufanya maamuzi ya kimkakati yanayotekelezeka katika majukumu ya kila siku.

Hayo yamebainishwa Jijini Dodoma na Kaimu mrajis wa Vyama vya Ushirika  Juma Mokili ambaye pia ni Mkurugenzi wa Utafiti na Mafunzo kutoka tume hiyo wakati alipomuwakilisha Mrajis wa Vyama vya Ushirika Benson Ndiege wakati wa kufunga mafunzo ya Menejmenti ya vihatarishi kwa warajis wasaidizi wa Mikoa katika vyama vya ushirika.

Amesema ili kupanga mipango inayotekelezeka katika tume hiyo ni lazima kuhakikisha wanazuia kila viashiria vya menejmenti ya vihatarishi katika mipango yao.

“Kama mnavyofahamu tuko hapa kwa ajili ya kuhudhuria mafunzo ambayo yatatujengea uelewa na kutuwezesha kuanzisha na kusimamia mifumo ya menejmenti ya vihatarishi katika ofisi zetu” amesema Mokili.

Ameongeza kuwa “ Mafunzo haya yanafanyika kwa mujibu wa maelekezo yaliyomo kwenye muongozo wa kuanzaa fremu ya menejmenti ya vihatarishi katika taasisi za serikali uliotolewa mwaka 2012 na Wizara ya Fedha na mipango kupitia idara ya mkaguzi wa ndani” amesema.

Amesema lengo la muongozo huo ilikuwa ni kutoa dira ya uanzishwaji na utekelezaji wa mfumo menejmenti ya vihatarishi katika taasisi za serikali na kubainisha kuwa kwa mujibu wa mwongozo tume inatakiwa kuandaa fremu ya menejmenti ya vihatarishi, daftari la orodha ya vihatarishi ili kuwa na mfumo imara na kufikia malengo.

Amesema mafunzo hayo ni endelevu na kwa awamu ya pili yatafanyika kwa maafisa ushirika wa wilaya kwa lengo la kusimamia vihatarishi katika maeneo yao kwa kushirikiana wa warajis wasaidizi wa Mikoa yao na menejmenti ya tume.

“Mafunzo hayo yanafanyika ili kuweka misingi bora ya utekelezaji wa mwongozo wa vihatarishi lengo likiwa ni kuwaandaa waratibu menejmenti ya vihatarishi kuchukua jukumu la kuiongoza tume katika uanzishwaji na utekelezaji wa mfumo wa menejmenti ya vihatarishi” amesema.

Kwa upande wake Mkaguzi Mkuu wa ndani katika tume ya maendeleo ya ushirika  Tanzania Bi. Mwanaidi Kalela amesema mafunzo hayo ni ya siku mbali na wamejifunza dhana ya vihatarishi, sifa ya vihatarishi na namna ya kuibua vihatarishi katika maeneo yao ya kazi.

“Tunaamini mafunzo haya yamekuwa ya tija na kutakuwa na mabadiliko makubwa katika utendaji kazi kwa kuwa wamejifunza muundo muzima wa vihatarishi katika taasisi zao” amesema.

About the author

Alex Sonna