Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

starzbet

starzbet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

vipslot

vipslot

realbahis

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

casibom

royalbet

imajbet

kafacasino

betface

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

betasus

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

Featured Kitaifa

DKT.MKAMA:WAFUNDISHENI WENGINE KUTENGENEZA MAJIKO BANIFU

Written by Alex Sonna

Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Switbert Mkama akizungumza na wa Muguda wa Kijiji cha Muguda wilayani Kishapu mkoani shinyanga alipofanya ziara ya kikazi ya kukagua shughuli zinazotekelezwa kupitia Mradi wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia Mifumo Ikolojia Vijijini (EBARR).

Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Switbert Mkama (kushoto) akikagua ujezni wa kituo cha kunenepeshea mifugo katika kijiji cha Muguda wilayani Kishapu mkoani shinyanga alipofanya ziara ya kikazi ya kukagua shughuli zinazotekelezwa kupitia Mradi wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia Mifumo Ikolojia Vijijini (EBARR).

Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Switbert Mkama (kushoto) akiangalia viatu vilivyotengezwa katika kiwanda kidogo cha bidhaa za ngozi kijiji cha Kiloleli alipofanya ziara ya kikazi wilayani Kishapu mkoani shinyanga kukagua shughuli zinazotekelezwa kupitia Mradi wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia Mifumo Ikolojia Vijijini (EBARR).

Baadhi ya mashine zilizonunuliwa kupitia Mradi wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia Mifumo Ikolojia Vijijini (EBARR) zinazotumika katika kiwanda kidogo cha bidhaa za ngozi katika kijiji cha Kiloleli wilayani Kishapu mkoani Shinyanga.

Mradi wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia Mifumo Ikolojia Vijijini (EBARR) ngazi ya taifa kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais Dk. James Nyarobi akizungumza wakati wa ziara ya kukagua shughuli za mradi huo wilayani Kishapu mkoani Shinyanga.

Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Switbert Mkama (mwenye Kaunda suti) akisikiliza maelezo kuhusu utekelezaji wa Mradi wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia Mifumo Ikolojia Vijijini (EBARR) alipofanya ziara ya kukagua shughuli za mradi huo wilayani Kishapu mkoani Shinyanga.

(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)

……………………………………..

Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Switbert Mkama ametoa rai kwa kaya zilitengeneza majiko banifu kusambnaza maarifa hayo kwe kaya zingine ili kusaidia kupunguza ukataji miti kwa ajili ya kuni na mkaa.

Ametoa rai hiyo alipofanya ziara ya kukagua shughuli zinazotekelezwa kupitia Mradi wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia Mifumo Ikolojia Vijijini (EBARR) katika vijiji vya Kiloleli, Beledi na Mihama wilayani Kishapu mkoani Shinyanga.

Akizungumza kwa nyakati tofauti na wanavikundi vinavyonufaika na mradi huo, Dkt. Mkama aliwataka watumie maarifa waliyopata katika utengenezaji wa majiko hayo rafiki wa mazingira kuwafundisha wengine hatua itakayosaidia kupunguza ukataji miti.

“Niwapongeze kwa kuibeba wilaya katika utengenezaji wa majiko, huu utaalamu wenu muwarithishe wengine na watahamasika mpaka wote watahama kutoka kwenye kukata miti kwa ajili ya kuni hivyo watahamia kwenye majiko,” alisema.

Pia, Naibu katibu mkuu huyo aliwapa tahadhari wananchi hao kuwa ukataji miti unasababisha uharibifu mkubwa wa mazingira na hivyo changamoto ya mabadiliko ya tabianchi ambayo husababisha upungufu wa mvua.

Aliongeza kuwa miradi hiyo inayotekelezwa na Ofisi ya Makamu wa Rais itakuwa na msaada mkubwa katika kukabiliana na changamoto za kimazingira hivyo wananchi wanapaswa kuilinda.

Katika hatua nyingine Dkt. Mkama alisema changamoto ya uhaba wa maji katika vijiji hivyo itakuwa historia baada ya kukamilika kwa uchimbaji wa malambo matatu.

Aliwataka wananchi hao kuhakikisha wanayatunza malambo hayo ikiwemo kuyaweka katika hali ya usafi na kuepuka kufanya shughuli zisizotakiwa zikiwemo kufua au kuogelea, pindi uchimbaji wake utakapokamilika.

Wakitoa maoni kuhusu mradi huo Bi. Paulina Selia na Emmanuel Masanja ambaye ni mkazi wa kijiji cha Beledi aliishukuru Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kuwapelekea mradi katika kijiji chao.

Alisema kwa muda mrefu wamekuwa wakiyafuata na kuyachota maji umbali mrefu ambaye pia wanauziwa hivyo kupitia Mradi wa EBARR watapata ahueni na kufanya shughuli za kujenga taifa kwa ufanisi.

Naibu Mkuu Dkt. Mkama yuko katika ziara ya kutembelea miradi ya EBARR ambapo wilayani Kishapu amekagua kiwanda kidogo cha bidhaa za ngozi Kijiji cha Kiloleli, malambo katika vijiji vya Kiloleli, Mihama na Beledi.

Miradi mingine ni ujenzi wa kituo cha kunenepeshea mifugo katika Kijiji cha Muguda, ujenzi wa majosho mawili katika vijiji vya Mihama na Muguda pamoja na kutembelea kaya zinazotumia majiko banifu.  

About the author

Alex Sonna