Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU ATETA NA MAWAZIRI, MAKATIBU WAKUU NA VIONGOZI WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI

Written by mzalendoeditor

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao cha Mawaziri na Makatibu Wakuu, Ofisi ya Rais Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Waziri wa Fedha na Mipango pamoja na Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi, kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Julai 28, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor