Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

türk porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

pokerklas

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet güncel giriş

girne escort

magusa escort

slot siteleri

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Featured Kitaifa

TANZANIA YAJIVUNIA UENYEKITI NCHI WAZALISHAJI WA ALMASI AFRIKA

Written by Alex Sonna
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko akizungumza kwenye mkutano  wa waandishi wa habari kuhusiana  na  Mkutano wa Tatu wa Nchi zinazozalisha Madini ya Almasi Afrika (ADPA) uliofanyika katika ukumbi wa AICC uliopo Jijini Arusha
Baadhi ya wataalamu wakiwa kwenye Mkutano wa Tatu wa Nchi zinazozalisha Madini ya Almasi Afrika (ADPA) katika ukumbi wa AICC uliopo Jijini Arusha
…………………………………..
Asteria Muhozya, Tito Mselem na Steven Nyamiti, Arusha
Uenyekiti wa Tanzania kwa Nchi Zinazozalisha Almasi Afrika (African Diamond Producers Association-ADPA) umeonesha kuzaa matunda baada ya kuwezesha kuharakisha kurekebishwa kwa mifumo na nyaraka muhimu za umoja huo.
Nyaraka hizo ni pamoja na Katiba, Kanuni na Miongozo inayosimamia Jumuiya hiyo ambapo mfumo mpya utawezesha kusimamia ipasavyo masuala yanayohusu madini ya almasi na kuleta tija zaidi kwa nchi wanachama.
Hayo yamebainishwa na Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko Julai 28, 2022, wakati akizungumza na vyombo vya Habari jijini Arusha kuelezea kuhusu uwepo wa mkutano wa Tatu  (3) wa Dharula wa nchi zinazozalisha Almasi Afrika, huku Tanzania ikiwa nchi Mwenyeji na Mwenyekiti wa Mkutano huo.
Waziri Biteko ameongeza kuwa, nafasi ya uenyekiti wa Tanzania imewezesha Jumuiya hiyo kupata nafasi ya kualikwa katika Baraza la Umoja wa Mataifa ambapo Tanzania iliiwakilisha Jumuiya hiyo kama Mwenyekiti jambo linalopelekea kuweka msukumo wa masuala yanayohusu wazalishaji wa madini hayo Afrika.
Tanzania ilisaini mkataba wa kujiunga na  jumuiya  hiyo mwaka 2006 na tangu kipindi hicho imeendelea kuwa mwananchama mzuri ambapo mwaka  2021,  ilichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri la ADPA kwa kipindi cha miaka miwili  na inatarajia kukabidhi nafasi hiyo kwa nchi ya  Jamhuri ya Zimbambwe mwezi Machi, 2023.
Ameongeza kuwa, madini ya almasi ni miongoni mwa madini yenye urasimu mkubwa wa kibiashara na  mnyororo mrefu hivyo, wajibu wa jumuiya hiyo ni kusimamia  madini hayo ili kuwezesha kuwepo kwa sauti moja, kuwezesha biashara ya almasi kusonga mbele na pia kuziwezesha nchi wanachama kunufaika na rasilimali hiyo.
Akizungumzia nafasi ya Tanzania katika kusimamia madini hayo, Waziri Biteko amesema kuwa Serikali imefanikiwa kuboresha Mkataba katika Mgodi wa Almasi wa Williamson Diamond uliopo Mwadui, mkoani Shinyanga kwa kuongeza idadi za hisa zinazomilikiwa na Serikali kutoka asilimia 25 hadi kufikia 35.
Kuhusu uzalishaji wa madini hayo amesema kuwa, mgodi huo ulisimamisha uzalishaji  kwa muda kutokana na ukarabati hata hivyo uzalishaji wa almasi umerejea tena na kueleza kwamba,  uzalishaji wa awali umewezesha kuzalishwa kwa almasi ya pinki yenye uzito wa gramu sita (6) zenye thamani ya Dola za Marekani milioni kumi na mbili.
‘’Tumepata bahati ya kuweka rekodi mwadui na tunatazamia kuzalisha almasi za pinki katika mgodi huo.’’
Akizungumzia historia ya Tanzania katika uzalishaji wa madini ya almasi amesema uzalishaji wa juu wa almasi ulitokea Mwaka wa Fedha 2019/2020  kwa kuzalisha zaidi ya carat  500,000 ambapo imevunja rekodi iliyowekwa mwaka 1977 ya kuzalishwa kwa carat  377,000.  Kwa upande wa Soko la Tanzania kwa madini hayo, Waziri Biteko amesema hivi sasa soko la Tanzania kwa madini hayo liko Antwerp nchini Ubelgiji na inaangalia uwezekano wa kuwa na soko lingine Umoja wa Falme za Kiarabu- Dubai ambapo tayari serikali imekwenda kuangalia soko la madini hayo.
“Sasa bei ya almasi imeanza kupanda tena baada ya kushuka kutokana na kuwepo  changamoto ya janga la Ugonjwa wa Uviko-19,’’ amesema Waziri Biteko.
Jumuiya ya ADPA inajumuisha nchi kumi na nane (18), ambapo kumi na mbili (12) ni wanachama na sita (6) ni waangalizi. Nchi wanachama ni Angola, Botswana, Cameroon, Jamhuri ya Afrika ya Kati, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Ghana, Guinea, Namibia, Sierra Leone, South Africa, Tanzania, Togo na Zimbabwe. Nchi waangalizi ni Algeria, Jamhuri ya Kongo (Brazaville), Gabon, Ivory Coast, Liberia, Mali na Mauritania.
MKutano wa Tatu wa Dharula wa Baraza la Mawaziri umetangauliwa na  mkutano wa  wataalam kutoka nchi husika chini ya uenyekiti wa  Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini Adolf Ngunguru. Wataalam hao wanajadili nyaraka mbalimbali zinazohusiana na ADPA kabla ya kuwasilishwa kwenye mkutano wa Baraza la Mawaziri la jumuiya hiyo utakaofanyika Julai 29, 2022.

About the author

Alex Sonna