Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

grandpashabet

grandpashabet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

matbet

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

spinco

pasacasino

deneme bonusu

https://sjconsultors.com/

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

betasus

meritbet

jojobet güncel giriş

jojobet adres

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

jojobet

gameofbet

ultrabet

mavibet

coinbar giriş

setrabet

deneme bonusu veren siteler 2026

anadoluslot

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

mavibet giriş

betlike giriş

coinbar

coinbar

artemisbet

mavibet

artemisbet giriş

mavibet

artemisbet giriş

betlike

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

paribahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

İmajbet

İmajbet

Featured Kitaifa

KINANA:ATOA MAELEKEZO KWA VIONGOZI SERIKALINI

Written by Alex Sonna

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Komred Abdulrahmani Kinana akikata Utepe kuzindua Jengo la Kitega Uchumi Cha CCM Mkoa wa Rukwa, kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa Lanel Rukala, katikati Katibu wa CCM Mkoa huo Bi Mwanamasudi Msafiri Pazi  katika ziara ya kuimarisha Uhai wa Chama na Ukaguzi wa Ilani ya CCM 2020-2025.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Komred Abdulrahmani Kinana akizungumza na wanachama Wa CCM na Wananchi baada ya Kuzindua rasmi jengo la kitega Uchumi Cha CCM Mkoa wa Rukwa.

Makamu Mwenyekiti wa Cham Cha Mapinduzi (CCM) Komred Abdulrahmani Kinana akikagua Maendeleo ya Ujenzi wa Stendi Maya ya Mabasi Mkoani Rukwa Iliyopo Katumba Azimio, Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga Ndg Jacob Mtalitinya akitolea Ufafanuzi wa maendeleo ya Ujenzi huo, Kulia ni katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka ambae ameambatana na Kinana katika Ziara hiyo.

Makamu Mwenyekiti wa Cham Cha Mapinduzi (CCM) Komred Abdulrahmani Kinana akisalimiana na Wananchi Nje ya Stendi Maya ya Mabasi Mkoani Rukwa Iliyopo Katumba Azimio Waliofika kumlaki wakati wa kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Stendi hiyo.

Makamu Mwenyekiti wa Cham Cha Mapinduzi (CCM) Komred Abdulrahmani Kinana akizungumza na Viongozi na Wanachama wa CCM Katika Mkutano wa ndani Mjini Sumbawanga akiwa katika ziara ya kuimarisha Uhai wa Chama na Ukaguzi wa Ilani ya CCM 2020-2025.
**************************

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndg Abdulrahman Kinana amewataka viongozi na watendaji wa Serikali kuhakikisha wanarahisisha ufanyaji wa shughuli za wananchi kwa kuwaondolea vikwazo kwa kuwa sekta binafsi inaanza na wao.

Kinana ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na wananchi wa Jimbo la Nkasi Kaskazini eneo la Lyazumbi wakati wa mapokezi ya kuanza ziara mkoani Rukwa akitokea mkoa wa Katavi.

“Serikali inafanya jitihada za kuimarisha na kuboresha mazingira ya sekta binafsi nchini ili ifanye vizuri, sasa sekta binafsi inaanza na wananchi wa kawaida. Tuwaondolee kero wananchi wetu na tuwarahisishie kufanya shughuli zao iwe ni wakulima, wafugaji, bodaboda, wamachinga au wafanyabishara.” Amesema Kinana

Akimkaribisha mkoani Rukwa Mwenyekiti wa CCM mkoa huo Ndugu Rainer Lukalah amemueleza Ndg Kinana kuwa hali ya siasa katika mkoa huo ni shwari na wanaridhishwa na kazi kubwa ya maendeleo inayofanywa na serikali ya awamu ya sita chini ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan.

Kinana ameingia mkoani Rukwa ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya uimarishaji chama na ukaguzi wa utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM akiwa ameambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka.

Katika hatua nyingine Kinana, amewataka viongozi wa Mkoa wa Rukwa kutafuta maridhiano juu ya malalamiko ya wananchi kudai wanalazimishwa kwenda kituo kipya cha mabasi kilichojengwa nje kidogo ya Manispaa ya Sumbawanga.

Akizungumza leo Julai 26, 2022 kwenye kikao cha ndani kilichowakutanisha wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kinana amesema amepokea malalamiko kuhusu Stendi iliyopo Sumbawanga Mjini na kituo kipya cha mabasi Katumba Azimio.

“Kuna kituo cha basi kipya nimekwenda kukitembelea, nimekuta vijana wana mabango wanataka kuwe na kituo kimoja cha basi. Lakini nikiwa hapa mjini wanasema kile kituo kiwepo na cha hapa mjini kifanye kazi.

“Sasa nimekuwa na mazungumzo na Meya, nimekuwa na mazungumzo na Madiwani, nimezungumza na Mkuu wa Mkoa na wamenikubalia watakaa na kutatua manung’uniko. Haiwezekani watu wanamanung’uniko halafu tunakaa kama hatuoni.

“Kituo kile kipya kimetumia fedha nyingi, lakini stendi mpya zimejengwa katika maeneo mbalimbali ya nchi yetu. Dar es Salaam kituo cha mabasi kimejengwa umbali wa kilomita 30, lakini hivi sasa kituo kile kimechangamka na shughuli mbalimbali zinafanyika.

“Hivyo wananchi wanachotaka kituo kijengwe lakini wakati huo huo kisiharibu maisha ya watu. Watu wanatoka safari halafu wanaambiwa wasishuke mjini, hadi Katumba Azimio na akifika huko ndio apande gari nyingine kurudi mjini.

“Sasa swali la kujiuliza hivi kuna dhambi gani dereva akisimama nikashuka? Viongozi tuko kwa ajili ya wananchi, wananchi hawako kwa ajili ya viongozi, na wananchi wako kwa ajili ya viongozi ni sehemu moja tu kwa ajili ya kupiga kura, viongozi walioko mezani wanapiga magoti wakati wa kupiga kura, lakini wakishachaguliwa wanapandisha mabega,” amesema Kinana wakati akielezea suala hilo.

Amefafanua kuwa, ujenzi wa kituo hicho kipya ni jambo zuri, la maendeleo, lakini kikubwa viongozi kukaa na wananchi na kuwaelimisha. Kuwa kiongozi sio kuwa na haki miliki ya akili, busara na kuamua, hivyo lazima tukae tushauriane, na hatuwezi kukosa njia nzuri ya kushauriana.

“Haiwezekani mara moja tu utararibu ukaondolewa na haiwezekani kwa miaka 10 kituo kipya kikabaki kama kilivyo sasa, ni vema pande zote wakanufaika, mama anayetaka kuuza kitumbua abaki apate riziki.

“Sasa niwambie tumekubaliana na viongozi watakaa na kutafuta namna nzuri ambayo haitambughudhi mtu yeyote, kila mtu aridhike na tutafute maridhiano kwa njia nzuri.

About the author

Alex Sonna