Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

Featured Kitaifa

SHILINGI BILIONI 38 KUREKEBISHA HALI YA UMEME URAMBO

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nishati,  Mhe.January Makamba akisalimiana na wananchi baada ya kufika katika Kijiji cha Uhuru wilayani Urambo, ili  kukagua kazi za awali zinazoendelea katika mradi wa ujenzi kituo cha kupoza umeme ambacho kukamilika kwake kutaimarisha hali ya umeme wilayani humo.

Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba akizungumza na wananchi katika Kata ya Ifucha katika Manispaa ya Tabora ambapo aliwaahidi kuwa kazi ya kupeleka umeme kwenye Kata hiyo itaanza tarehe 25 Agosti, 2022 na mkandarasi ameshapatikana ambaye ni kampuni ya Ceylex.

…………………………………….

Waziri wa Nishati,Mhe. January Makamba ameeleza kuwa, Serikali imetenga kiasi cha shilingi bilioni 38 kwa ajili ya ujenzi wa  kituo cha kupoza umeme  wilayani Urambo Mkoa wa Tabora pamoja na njia ya kusafirisha umeme ya kV 132 kutoka Tabora hadi wilayani humo ili  kuifanya  wilaya hiyo  kuwa na umeme wa uhakika na unaotosheleza mahitaji.

Waziri wa Nishati, alisema hayo   baada ya kufika katika Kijiji cha Uhuru wilayani Urambo, ili  kukagua kazi za awali zinazoendelea katika eneo lililotengwa kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha kupoza umeme.

“Mkoa wa Tabora ulipata umeme miaka ya 1980  baada ya kujenga kituo cha Ibadakuli mkoani Shinyanga lakini watu wanaongezeka, shughuli zinaongezeka na umeme sasa hautoshelezi mahitaji mapya. Urambo pia ilikuwa ikipata umeme huo kwa umbali mrefu hali iliyofanya umeme kuja ukiwa mdogo na unaokatika mara kwa mara.” Alisema Makamba

Alieleza kuwa, hatua za awali zilizochukuliwa na Serikali ili kurekebisha hali hiyo ni pamoja na kufupisha urefu wa nyaya ili likitokea tatizo popote lisiathiri eneo kubwa na pia kuongeza unene wa nyaya hadi kufikia milimita 100 toka milimita 25 ambapo shilingi milioni 509  zilitumika kwa kazi ya ubadilishaji wa nyaya hizo kwa urefu wa kilometa 54. Hatua hizo za awali zimewezesha hali ya umeme kuimarika tofauti na hapo awali.

Aliongeza kuwa, hatua za kudumu zinazochukuliwa na Serikali ni kujenga kituo cha kupoza umeme cha Uhuru ambacho kitatoa umeme wa uhakika wilayani humo na kwamba ujenzi wa mradi huo utaanza  kutekelezwa mwezi Agosti 2022 na kukamilika mwaka 2023.

Kuhusu fidia ya wananchi waliotoa maeneo ili kutekeleza mradi huo alisema kwamba, fedha zimeshatengwa kiasi cha shilingi bilioni  4.3 ili kulipa fidia wananchi hao na kwamba malipo yataanza kufanyika baada ya siku 25.

Katika hatua nyingine, Waziri wa Nishati, January Makamba amesisitiza kuwa, Serikali haitaacha kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia kwani ni takwa la Sera ya Nishati ya mwaka 2015 ambayo inaeleza kuwa, Serikali itahakikisha  kila mtanzania anapata nishati safi na salama ya kupikia ambayo anaweza kuhimili bei yake.

“Kama Wizara tumeamua tutoe msukumo mkubwa kwenye nishati safi ya kupikia, mwisho wa mwaka huu tutatengeneza mpango mkakati mkubwa wa kitaifa wa kuanza safari ya kuwawezesha watanzania, hasa kina mama vijijini  kuondokana na adha kubwa na hatari kwa afya zao kutokana na wanavyopika kwa kutumia kuni na mkaa.” Alisema Makamba

Aliongeza kuwa, “Watu 22 elfu  wanakufa kwa mwaka kutokana na mfumo wa hewa kuathirika kwa sababu ya moshi ambao una sumu, suala hili tumeamua kulibeba kwa nguvu kubwa ili watanzania wote hasa kina mama, maisha yao yawe bora zaidi.”

Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Dkt. Balozi Batilda Buriani alipongeza Wizara ya Nishati kwa kuanza kutekeleza mradi huo wa uhamasishaji wa nishati safi ya kupikia na kueleza kuwa suala hilo litapelekea kina mama kuondokana na adha ya moshi na pia kupunguza ukataji wa miti kwa ajili ya utengenezaji wa mkaa.

Akiwa mkoani Tabora, Waziri Makamba pia alifika katika kata ya Ifucha katika Manispaa ya Tabora na wananchi wa eneo hilo walimweleza kuhusu kero ya kutokuwa na umeme ambapo Waziri wa Nishati aliwaahidi kuwa kazi ya kupeleka umeme kwenye Kata hiyo itaanza tarehe 25 Agosti, 2022 na mkandarasi ameshapatikana ambaye ni kampuni ya Ceylex.

Waziri Makamba anaendelea na ziara katika mikoa mbalimbali nchini akiwa na malengo ya kusikiliza maoni, kero za wananchi na kuzitatua, kukagua miradi ya nishati pamoja na kuhamasisha matumizi ya nishati safi na salama ya kupikia.

About the author

Alex Sonna