Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

deneme bonusu

casinowon

esbet

tambet

betsalvador

grandpashabet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

lordcasino

marsbahis

luxbet

gobahis

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

millibahis

realbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

norabahis

luxbet

betnis

betnis

parmabet

holiganbet

Hacklink panel

betsmove

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

rekorbet giriş

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

netbahis

meybet giriş

netbahis

betra

primebahis

tümbet

tümbet giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

timebet

betpark

casibom giriş

holiganbet

bets10

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

Gameofbet

jojobet

netbahis giriş

prensbet

lordcasino giriş

ganobet

gobahis giriş

orisbet giriş

kareasbet

orisbet

millibahis

betnis giriş

orisbet giriş

parmabet giriş

kareasbet

maritbet

kareasbet giriş

gobahis giriş

prensbet giriş

aresbet giriş

vaycasino

prensbet

orisbet

luxbet giriş

meybet

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

norabahis giriş

ganobet

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

rekorbet

goldenbahis

goldenbahis

perabet, perabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

meritking

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

cratosroyalbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

Grandpashabet

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

betsat giriş

jojobet

amgbahis

casibom

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

ibizabet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

mislibet giriş

betnis

norabahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet

cratosroyalbet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

porno izle

deneme bonusu veren siteler

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

casibom

jojobet

monobahis

deneme bonusu

deneme bonusu

tipobet

bets10

sekabet güncel giriş

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

grandpashabet

jojobet

jojobet

nerobet

goldenbahis

jojobet

Hacklink panel

tümbet

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

test

jojobet

jojobet

Featured Kitaifa

SHILINGI BILIONI 1.2 KUBORESHA HUDUMA ZA MACHO NCHINI

Written by Alex Sonna

Na.Catherine Sungura,Tanga

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu leo amezindua mradi wa macho kwa Mikoa ya Tanga, Kagera, Manyara na Mtwara wenye thamani ya Tshs Bilioni 1.2 pamoja na kupokea vifaatiba vya huduma za macho vyenye thamani ya Tshs Milioni 221.5 kwa ajili ya huduma za macho kwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Bombo – Tanga.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi huo uliofadhiliwa na Shirika la Kilimanjaro Centre for Community Ophthalmology Tanzania(KCCO) katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Bombo – Tanga, Waziri Ummy amesema vifaa tiba hivyo vitasaidia kuimarisha huduma za macho nchini.

“Huu ni mfano mzuri wa ushirikishwaji wa wadau wanaounga mkono juhudi za Serikali katika kuimarisha huduma za Afya hapa nchini,watanzania watanufaika na msaada huu kwa kuwa huduma za afya zinatolewa bila mipaka yeyote”

Waziri Ummy aliongeza kuwa jicho ni kiungo muhimu sana kwa binadamu hivyo basi huduma za macho zinazolenga kuzuia upungufu wa kuona na ulemavu wa kutokuona ni moja ya vipaumbele vya Sekta ya Afya.

Amesema afua zinazolenga kuboresha afya ya macho kwa jamii ni muhimu katika kuhakikisha wananchi wanakuwa na afya njema na ustawi kwa ujumla ili kuwawezesha kushiriki kwenye shughuli za kujiletea maendeleo’ulemavu wa kutokuona unachangia kwa kiasi kikubwa kwenye umaskini wa mtu binafsi,familia na Taifa kwa ujumla’.

Hata hivyo Waziri Ummy alisema takwimu zinaonyesha kuwa watu Milioni 1 walifikiwa na huduma za macho katika vituo vya kutolea huduma za adya katika kipindi cha mwaka 2021 na kati yao 33% tayari walikuwa wana upungufu wa kuona ikijumuisha ulemavu wa kutokuona.

Aidha, 38% ya watu wenyevuhitaji wa miwani yavkurekebisha uoni walipatiw miwani hiyo na takwimu za nchi nzima zinaonyesha kuwa watu wenye uhitaji wa huduma za macho ni takribani Milioni 12 kwa mwaka.

Vile vile aliwaasa watendaji na wasimamizi wa huduma za maxho kwenye mikoa ya Manyara, Kagera,Mtwara na Tanga wahakikishe vifaa hivyo vinatumika ipasavyo kwa manufaa ya wananchi na vinaingizwa kwenye orodha ya vifaa vya hospitali husika na vinatunza kwa kufanyiwa matengenezo kinga ili viweze kutoa huduma kwa muda mrefu.

Naye, Mkurugenzi wa KCCO Dkt. Edson Mwaipopo amesema licha ya kukabidhi vifaa tiba hivyo shirika lao pia inachangia fedha kwa ajili ya huduma za mkoba walau mara mbili kila mwezi kwa kila mkoa,dawa,utafiti na udhamini wa mafunzo ya muda mfupi ya macho kwa wauguzi ambapo hadi sasa jumla ya wauguzi 13 kutoka hospitaki za Rufaa za Mikoa na halmashauri inakotekelezwa mradio huo wamepariwa mafunzo hayo.

Amesema vifaa tiba vilivyopokelewa ni pamoja na vifaa vya ucgunguzi wa macho, vifaa vinavyotumika kwa ajili ya upasuaji wa macho,miwani 850, kompyuta 5 na kuendesha zoezi la matenfenezo kwa vifaa vilivyopo kwente hospitali za rufaa za mikoa .

Matatizo ya macho yaliyoongoza katika kipindi cha mwaka 2021 yalikuwa upeo mdogo wa macho kuona unaorekebishika kwa miwani, uvimbe kwenye ngozi nyororo ya jicho,mtoto wa jicho,shinikizo la macho pamoja na matatizo ya kwenye pazia la jicho.

About the author

Alex Sonna