Featured Kitaifa

BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA ATETA NA WAZIRI MKUU JIJINI DAR ES SALAAM

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa China nchini, Chen Mingjian, wakati alipokutana naye, katika ofisi ndogo ya  Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam . 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa China nchini, Chen Mingjian, wakati alipokutana naye, katika ofisi ndogo ya  Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam . Julai 21, 2022.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor