Featured Kitaifa

WAZIRI BITEKO ATETA NA RC ANDENGENYE MKOANI KIGOMA

Written by mzalendoeditor

Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe. Thobias Andengenye ofisini kwake ili kuzungumza na wachimbaji wadogo wa madini leo Julai 20, 2022 Mkoani Kigoma

About the author

mzalendoeditor