Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI HOSPITALI YA ROMBO

Written by mzalendoeditor

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiweka jiwe la msingi ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Rombo iliopo mkoani Kilimanjaro

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akipanda mti katika eneo la Hospitali wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la msingi ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Rombo iliopo kata ya Kirongo Samanga Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikagua maendeleo ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Rombo iliopo kata Kirongo Samanga ya mkoani Kilimanjaro wakati wa uwekaji jiwe la msingi katika Hospitali hiyo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akicheza ngoma ya kikundi cha msanja kutoka kata ya Njoro Manispaa ya Moshi  wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la msingi ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Rombo iliopo mkoani Kilimanjaro

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia viongozi na wananchi mbalimbali  wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la msingi ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Rombo iliopo kata ya Kirongo Samanga mkoani Kilimanjaro

About the author

mzalendoeditor