Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ATETA NA WAZEE WA MKOA WA KUSINI PEMBA

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na makundi mbalimbali ya Wazee Kisiwani Pemba katika ukumbi wa kiwanda cha Makonyo Wilaya ya Chakechake mkoa wa Kusini Pemba.

Sehemu ya Wazee, Viongozi wa vyama vya Siasa pamoja na Viongozi wa dini wakiwa kwenye kikao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Kisiwani Pemba

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Sheikh Rashid Hamad Othman, Mlezi wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud, wakati alimpomtembelea nyumbani kwake Utaani Wilaya ya Wete mkoa wa Kaskazini Pemba.

About the author

mzalendoeditor