Featured Kitaifa

RAIS DKT.MWINYI APOKEA ZAWADI KUTOKA KWA MABALOZI WA JUMUIYA YA NCHI ZINAZOZUNGUMZA KIRENO

Written by mzalendoeditor

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa Brazil Mhe.Antonio Cesare, akiungana na Mabalozi wa Jumuiya ya Nchi zinazozungumza lugha ya Kireno (CPLP) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar  leo  kwa mazungumzo. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na  Mabalozi wa Jumuiya ya Nchi zinazozungumza lugha ya Kireno (CPLP) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar  leo  wakiongozwa na Mhe.Balozi  Sandro de Oliveira  (wa tatu kulia) kutoka  Nchini Angola.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Mabalozi wa Jumuiya ya Nchi zinazozungumza lugha ya Kireno (CPLP) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo, wakiongozwa na Mhe.Balozi  Sandro de Oliveira  (katikati) kutoka  Nchini Angola.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa  katika picha ya pamoja na  Mabalozi wa Jumuiya ya Nchi zinazozungumza lugha ya Kireno (CPLP) baada ya mazungumzo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar  leo, Mhe.Balozi  Sandro de Oliveira(wa tatu kushoto) kutoka  Nchini Angola (kushoto) Balozi Mdogo wa Mozambiq anayefanyia Kazi Zanzibar Mhe.Agostino Abacar Trinta,Balozi wa Brazil Mhe.Antonio Cesare (wa pili kulia) na Balozi wa Heshima wa  Brazil hapa Zanzibar  Abdulsamad Abdulrahim[Picha na Ikulu

About the author

mzalendoeditor