Featured Kitaifa

SPIKA DK.TULIA KUSHIRIKI MKUTANO WA 51 SADC PF NCHINI MALAWI

Written by mzalendoeditor

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), ameondoka nchini leo Julai 10, 2022 kuelekea Lilongwe, Malawi kushiriki Mkutano wa 51 wa Jukwaa la Kibunge la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC PF)

About the author

mzalendoeditor