Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

betsat

dinamobet giriş

ultrabet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

casibom

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

marsbahis

marsbahis

kendin tasarla mousepad

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

piabellacasino giriş

marsbahis

slot siteleri

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

betpark

pusulabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

betsat

Starzbet

deneme bonusu

bahis siteleri

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Jojobet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Hacking Forum

modabet

Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU AZINDUA FILAMU YA THE ROYAL TOUR RUANGWA

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainabu Telack wakitazama Filamu ya The Royal Tour kwenye uwanja wa Wandorwa, Ruangwa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipowaongoza wananchi wa wilaya ya Ruangwa  kutazama Filamu ya The Royal Tour kwenye  uwanja wa Wandorwa.

Wananchi wa Ruangwa wakitazama Filamu ya The Royal Tour kwenye uwanja wa  Wandorwa, Julai 8, 2022. Mgeni rasmi katika tukio hilo alikuwa ni Waziri Mkuu na Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa .  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

……………………………………..

*Aagiza kuibuliwa kwa fursa za utalii ili kunufaika na watalii wanaoingia nchini

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka Halmashauri za Wilaya nchini kuweka mipango ya kuibua fursa za utalii ili ziweze kunufaika na idadi kubwa ya watalii wanaoingia nchini baada ya hamasa kubwa iliyochechewa na Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kupitia filamu ya The Royal Tour.

Mheshimiwa Majaliwa alitoa agizo hilo jana usiku (Ijumaa, Julai 08, 2022) alipouongoza umati mkubwa wa wananchi wa wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi kutazama filamu ya The Royal Tour kwenye uwanja wa Wandorwa wilayani hapa.

Waziri Mkuu alisema filamu ya The Royal Tour ina nafasi ya kuimarisha shughuli za maendeleo katika mikoa yote nchini ukiwemo na mkoa wa Lindi ambao una vivutio vingi vya uwekezaji na utalii, hivyo kila wilaya itumie fursa hiyo kuainisha vivutio vilivyopo na kuvitangaza mfano viboko vyenye ualbino ambavyo vinapatikana wilayani Kilwa.

“Viboko hawa ni wa kipekee sana hawapatikani sehemu yoyote na ni kivutio kizuri cha utalii kwani unaweza kuwaita na wakaibuka juu na ukiwaambia wazame wanazama, hivyo Maafisa Utalii mlioko makao makuu ya wilaya ya Kilwa wekeni mpango mzuri wa kutangaza viboko hawa, ni kivutio kikubwa cha utalii”

Kadhalika, Waziri Mkuu alisema Rais Mheshimiwa Samia moja ya mkakati wake ni kuboresha na kukuza uchumi na amewahakikishia Watanzania na ulimwengu kuwa Tanzania ni sehemu salama ya kuja kuwekeza na ametoa fursa za uwekezaji nchini.

Alisema katika ziara zake anazozifanya nje ya nchi moja kati ya ajenda yake ni kuwakaribisha wawekezaji katika sekta mbalimbali zikiwemo za viwanda, madini, biashara, utamaduni na sanaa.

Mheshimiwa Majaliwa alisema Rais Mheshimiwa Samia amekuja na ubunifu wa kutangaza vivutio mbalimbali vilivyopo nchini kwa kupitia filamu ya The Royal Tour, hivyo aliwasisitiza Watanzania wakiwemo wananchi wa wilaya ya Ruangwa kuitumia fursa hiyo kwa kuibua miradi ya uwekezaji itakayowainua kiuchumi na kutengeza ajira hususan kwa vijana.

“Migodi mikubwa ya madini mbalimbali yakiwemo ya Bunyu (Graphite) inayotarajiwa kufunguliwa hivi karibuni katika wilaya yetu ni fursa ambayo wana-Ruangwa tunapaswa kuichangamkia kwa kuwekeza kwenye miradi ya ujenzi wa miundombinu mbalimbali itakayowawezesha wageni kupata huduma muhimu za kijamii kama malazi, chakula na usafiri.”

Kwa upande wake,  Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack alisema mkoa huo tayari umeanza kunufaika tangu filamu hiyo izunduliwe, ambapo idadi ya watalii imeongezeka pamoja na wafanyabiashara wanaoingia kwa ajili ya kutafuta maeneo ya uwekezaji.”Fursa za utalii na uwekezaji mkoani Lindi ni nyingi sana wananchi wanatakiwa kuzichangamkia.”

Filamu ya kihistoria ya Royal Tour ilizinduliwa nchini tarehe 28 Aprili, 2022 Jijini Arusha, filamu hiyo, imechangia kuimarisha shughuli za utalii na kusaidia kutangaza urithi wa utalii uliopo Tanzania.

About the author

Alex Sonna