Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

1xbet

matbet, matbet giriş

gameofbet

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

jojobet giriş

jojobet

holiganbet, holiganbet giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

casibom

betewin

interbahis

casinofast giris

mislibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Pusulabet

pusulabet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

grandpashabet

jojobet

holiganbet

jojobet

betpark

betsat giriş

jojobet

tambet

ultrabet

mislibet

kavbet

setrabet

pulibet

perabet

timebet

jojobet

kulisbet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

mavibet giriş

mavibet giriş

mavibet

mavibet

piabellacasino

mavibet

mislibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

mislibet

mavibet giriş

kavbet giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Pusulabet

madridbet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betpark

betyap, betyap giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

grandpashabet

grandpashabet

jojobet

jojobet

jojobet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

kingroyal

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

betpas

royalbet

Betpas

betface

betface

piabellacasino giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

jojobet

jojobet

Featured Kitaifa

SERIKALI KUIMARISHA TAASISI YA SAYANSI ZA BAHARI KUKUZA UCHUMI WA BLUU

Written by Alex Sonna
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda akizungumza na watumishi wa Taasisi ya Sayansi za Bahari-Zanzibar iliyopo chini ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam wakati akiwa katika ziara ya siku moja kisiwani Unguja tarehe 9 Julai 2022. Wengine pichani ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Prof William Anangisye (Kushoto) na Mkurugenzi wa Elimu ya Juu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt Keneth Hosea (Kulia).
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda akikagua eneo lililoungua la Taasisi ya Sayansi za Bahari-Zanzibar iliyopo chini ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam wakati akiwa katika ziara ya siku moja kisiwani Unguja 
………………………………..

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kupitia Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET) imekipatia Chuo Kikuu cha Dar es Salaam zaidi ya Sh Bilioni 11 kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa miudombinu katika Taasisi ya Sayansi za Bahari.

Akizungumza mjini Zanzibar mwishoni mwa wiki mara baada ya kutembelea Taasisi hiyo Mhe. Prof. Adolf Mkenda, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia amesema fedha hizo zimetolewa kwa ajili ya kuendeleza baadhi ya miundombinu hiyo ambayo ujenzi wake ulisimama kwa muda mrefu.

Ameongeza kuwa fedha hizo zimepelekwa katika Taasisi hiyo ikiwa ni utekelezaji wa maelekezo ya Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye aligiza fedha zilizopatikana kutokana na Mradi wa HEET kusambazwa nchi nzima ili ziweze kuboresha na kujenga vyuo vitakavyowapatia ujuzi na ajira watanzania.

” Maelekezo ya Mhe. Rais kuhusu fedha za mradi huu ni kusambazwa kwa nchi nzima ili kuboresha na kujenga miundombinu pamoja na kutoa ajira kwa watu mbalimbali, ndio maana tumeleta fedha hizi hapa lakini pia zimekwenda Tabora, Musoma, Mara, Geita Simiyu, Manyara, Tanga na kwingineko” amesema Prof Mkenda

Waziri huyo amekitaka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuhakikisha kinasimamia kwa weledi fedha hizo ili zifanye kazi ambayo imekusudiwa kwa ubora na viwango vilivyokubalika

Aidha, Prof Mkenda amemtaka Makamu Mkuu wa Chuo cha Ardhi Prof. Evaristo Riwa kufika katika Taasisi hiyo ili kuona mapungufu ya mradi wa ujenzi wa baadhi ya miundombinu iliyojengwa chini ya usimamizi wa chuo hicho na kurekebisha mapungufu hayo kabla ya kuanza kwa awamu nyingine.

Naye Mwakilishi wa Jimbo la Kiembe Samaki Mhe. Suleiman Haroub amesema fedha hizo zilizotolewa zimeamsha matumaini kwa wananchi wanaozunguka Taasisi hiyo kwani baada ya kuona misingi ya miundombinu hiyo imekaa muda mrefu bila kuendelezwa walijua kinachofuata ni kuondolewa katika eneo hilo na kuahidi kushirikiana na Taasisi hiyo kulinda mazingira na miundombinu.

Mbunge wa Jimbo la Kiembe Samaki Mhe. Mohamed Maulid ameishukuru Wizara ya Elimu na Serikali kwa kutoa fedha za uendelezaji wa ujenzi wa miundombinu na kwamba itakapokamilika itakuwa Taasisi nzuri yenye kuzalisha vijana watakaoshiriki katika kuendeleza uchumi wa bluu.

Naye Mkurugenzi wa Taasisi ya Sayansi za Bahari Mosses Mbiru amesema fedha hizo zinakwenda kukamilisha jengo la utawala na taaluma pamoja na kutekeleza azma ya upanuzi wa shughuli za Taasisi hiyo.

About the author

Alex Sonna