MzalendoBlog
  • Habari
    • Kitaifa
    • Kimataifa
  • Michezo
  • Burudani
  • Makala
Mzalendo
  • Habari
    • Kitaifa
    • Kimataifa
  • Michezo
  • Burudani
  • Makala

Home » MSANII MKONGWE WA FILAMU BI.HINDU AFARIKI DUNIA

Featured • Kitaifa

MSANII MKONGWE WA FILAMU BI.HINDU AFARIKI DUNIA

3 years ago
by mzalendoeditor
107 Views
Written by mzalendoeditor

MSANII wa filamu mkongwe na mtangazaji, Chuma Suleiman almaarufu Bi Hindu, amefariki dunia asubuhi hii, nyumbani kwake, Magomeni jijini Dar es Salaam.

Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na ndugu wa karibu wa mkongwe huo huku sababu ya kifo chake ikitajwa kuwa ni maradhi ya muda mrefu.

    FacebookXGoogle+PinterestLinkedIn
WAZIRI STERGOMENA: ‘ENDELEZENI UTII, WELEDI NA UAMINIFU KAZINI’
WAZIRI MULAMULA ATAKA WAFANYABIASHARA KUCHANGAMKIENI FURSA ZA MASOKO KATIKA JUMUIYA ZA KIKANDA

You may also like

Featured • Magazeti

PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JULAI...

Featured • Kitaifa

RAIS SAMIA APONGEZWA KUTEKELEZA MKAKATI WA TAIFA WA...

Featured • Kitaifa

AMREF HEALTH AFRICA YAKABIDHI VITENDEA KAZI KWA...

Featured • Kitaifa

DKT. OMAR AZINDUA MAFUNZO YA UBAINISHAJI NA UPIMAJI WA...

Featured • Kitaifa

𝗪𝗜𝗭𝗔𝗥𝗔 𝗬𝗔 𝗘𝗟𝗜𝗠𝗨 𝗬𝗔𝗧𝗘𝗧𝗔 𝗡𝗔 𝗨𝗢𝗡𝗚𝗢𝗭𝗜 𝗠𝗣𝗬𝗔 𝗧𝗔𝗠𝗢𝗡𝗚𝗦𝗖𝗢

Featured • Kitaifa

DKT.MADELE AREJESHA FOMU YA UBUNGE DODOMA MJINI

About the author

mzalendoeditor

View all posts

Copyright © 2025. Mzalendo Blog - Design by Yatosha Web Services.

  • Habari
  • Michezo
  • Burudani
  • Makala