Featured • Michezo HERSI SAID ACHAGULIWA KUWA RAIS WA YANGA 3 years agoby Alex Sonna150 Views Written by Alex Sonna WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Yanga wamempitisha Mhandisi Hersi Said ambaye alikuwa mgombea pekee kwa kura za ndio kuwa Rais Mpya wa klabu ya Yanga FacebookXGoogle+PinterestLinkedIn