Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

Featured Kitaifa

RC MTAKA AAGIZA SHULE ZOTE ZA SEKONDARI NDANI YA JIJI LA DODOMA KUFUNGA CCTV CAMERA

Written by Alex Sonna

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka,akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kutembelea Shule ya Sekondari ya Miyuji  ambayo imefanikiwa kuweka mfumo wa CCTV Camera ambazo zimefungwa kwa ajili ya Masuala ya Ulinzi leo Julai 8,2022 jijini Dodoma.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka,akizungumza  mara baada ya kutembelea Shule ya Sekondari ya Miyuji  ambayo imefanikiwa kuweka mfumo wa CCTV Camera ambazo zimefungwa kwa ajili ya Masuala ya Ulinzi leo Julai 8,2022 jijini Dodoma.

WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari Miyuji wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka,akizungumza mara baada ya kutembelea shule hiyo ambayo imefanikiwa kuweka mfumo wa CCTV Camera ambazo zimefungwa kwa ajili ya Masuala ya Ulinzi leo Julai 8,2022 jijini Dodoma.

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Miyuji Mwl.Greyson Maige akisoma risala wakati wa ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka,baada ya kutembelea shule hiyo ambayo imefanikiwa kuweka mfumo wa CCTV Camera ambazo zimefungwa kwa ajili ya Masuala ya Ulinzi leo Julai 8,2022 jijini Dodoma.

………………………………………

Na Eva Godwin-DODOMA

MKUU wa Mkoa wa Dodoma Mh.Anthony Mtaka ametoa wito kwa Shule zote za Sekondari ndani ya Jiji la Dodoma kuhakikisha zinafunga CCTV Camera,ili kusaidia kubaini watu wanaojihusisha na vitendo vya kiuhalifu katika maeneo ya Shule.

Ameyasema hayo leo Julai  8,2022 jijini Dodoma wakati akizungumza na Walimu pamoja na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Miyuji iliyopo Kata ya Mnadani Jijini Dodoma, alipotembelea Shule hiyo kutoa pongezi kwa Bodi na Uongozi wa Shule hiyo kutokana na kuweka mfumo wa CCTV Camera kwa ajili ya suala la ulinzi na Usalama

Amesema kumekuwa na matukio mengi ya kiuhalifu katika Jiji la Dodoma ikiwa ni pamoja na vitendo vya wizi na uharibifu wa miundombinu kutokana na kasi ya ukuaji wa Jiji,hivyo ni lazima Shule zote za Sekondari katika Jiji la Dodoma zikahakikisha kwamba zinakuwa na mfumo wa Camera ili kuwabaini wahalifu.

“Nitoe pongezi kwa Bodi ya shule pamoja na Uongozi wote kwa ujumla kwa kushirikiana mpaka kuweka mfumo wa CCTV Camera hili ni jambo kubwa sana Mmejiwekea ulinzi na wahalifu wataonekana”,amesema.

“Kumekuwa na matukio mengi ya kiuhalifu tena ya kuaribu miundombinu yetu,milango ya shule inavunjwa,madawati yanaibiwa lakini kupitia CCTV Camera wahalifu watapatikana,na niagize shule zote kuanzia Msingi na sekondari zifungwe CCTv Camera”.Amesema Mtaka

Aidha amezitaka kamati za Shule ndani ya Mkoa wa Dodoma kufanya uchambuzi wa Matokeo ya watoto waliopo Kidato cha Nne mwaka huu,ikiwa ni pamoja na matokeo yao ya kutoka Kidato cha Tatu kwenda kidato cha Nne na ufaulu wa Mitihani ya Majaribio kuanzia mwezi Januari hadi Juni na kupata alama za ufaulu daraja F kwenye masomo ya Sayansi,kuona namna ya kuwapunguzia mzigo wa maandalizi ya mtihani wao wa Taifa.

Kwa upande wake  Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Miyuji Mwl.Greyson Maige akisoma risala mbele ya Mkuu wa Mkoa amesema Shule hiyo inakabiliwa na changamoto nyingi ikiwa ni pamoja na upungufu wa walimu wa Sayansi,Shule kuwa karibu na maeneo ya makazi na biashara na hivyo kusababisha kelele.

“Changamoto kubwa kabisa ni kukosekana kwa Waalimu wa Sayansi yaani ni wachache sana na hii inapelekea Masomo ya Sayansi Wanafunzi wanakuwa wanafeli kila mara

“Shule hii ipo katikati ya makazi ya Watu,pikipiki zinapita zinapiga kelele,saloon zinafungulia miziki ambapo inawatoa watoto katika akili ya kusoma na kuwaza ya nje na muda mwingine magari yanapita ns kufungulia mziki mkubwa hii inskuwa sio sawa kwa Wanafunzi wetu”.Amesema Maige

Aidha amezitaja changamoto nyingine kuwa ni pamoja na ukosefu wa Viwanja vya michezo,uhaba wa Kompyuta,ukosefu wa vitabu vya masomo ya biashara,kukosekana kwa ukumbi wa Shule,kukithiri kwa utoro wa wanafunzi unaotokana na wengi wao kuishi katika mazingira magumu na ushirikiano mdogo wa wazazi na walezi hasa kuwaleta wanafunzi katika kambi ya kitaaluma.

About the author

Alex Sonna