Featured Kimataifa

RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA IDA 20 SUMMIT FOR AFRIKA,DAKAR NCHINI SENEGAL

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mkutano pamoja na viongozi wengine wa nchi mbalimbali Barani Afrika mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika zinazonufaika na dirisha la Maendeleo la Kimataifa (IDA 20 Summit for Afrika) uliofanyika kwenye ukumbi wa King Fahd Palace Dakar nchini Senegal tarehe 07 Julai, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Wakuu wa nchi mbalimbali wa Afrika katika Mkutano wa faragha wa Wakuu wa Nchi za Afrika zinazonufaika na dirisha la Maendeleo la Kimataifa (IDA 20 Summit for Afrika) uliofanyika kwenye ukumbi wa King Fahd Palace Dakar nchini Senegal t

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wengine Wakuu wa nchi mbalimbali Barani Afrika mara baada ya Mkutano wa Wakuu hao wa Nchi za Afrika zinazonufaika na dirisha la Maendeleo la Kimataifa (IDA 20 Summit for Afrika) uliofanyika kwenye ukumbi wa King Fahd Palace Dakar nchini SenegalĀ 

About the author

mzalendoeditor