Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Dkt.Islam Seif Salum kuwa Katibu Mkuu (Kazi na Uwezeshaji) katika Ofisi ya Rais, Kazi na Uwekezaji,kabla ya uteuzi alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda hafla iliyofanyika leo katika viwanja wa Ikulu Jijini Zanzibar .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Nd.Seif Shaaban Mwinyi kuwa Katibu Mkuu katika Wizara ya Kilimo,Umwagiliaji,Maliasili na Mifugo,kabla ya Uteuzi alikuwa Kaibu Mkuu Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria na Utawala Bora,hafla iliyofanyika leo katika viwanja wa Ikulu Jijini Zanzibar .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Nd.Khadija Khamis Rajab kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi,kabla ua uteuzi huo alikuwa (Kazi na Uwezeshaji) katika Ofisi ya Rais, Kazi na Uchumu na Uwekezaji, hafla iliyofanyika leo katika viwanja wa Ikulu Jijini Zanzibar .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Nd.Abeda Rashid Abdalla kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto katika hafla iliyofanyika leo katika viwanja wa Ikulu Jijini Zanzibar,kabla alikuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya.