Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

marmaris escort

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

ibizabet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

imajbet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

türk porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

pokerklas giriş

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet güncel giriş

girne escort

magusa escort

slot siteleri

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Featured Kitaifa

KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YAPONGEZA UJENZI WA CHUO CHA VETA BAHI DODOMA

Written by Alex Sonna

MWENYEKITI wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti Mhe.Daniel Sillo,akisaini kitabu cha wageni mara baada kufanya ziara ya kukagua na kujionea maendeleo ya ujenzi wa Chuo cha VETA wilayani Bahi Mkoani Dodoma leo Julai 3,2022.

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Omary Kipanga,akitoa maelezo kwa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti iliyofanya  ziara ya kukagua na kujionea maendeleo ya ujenzi wa Chuo cha VETA wilayani Bahi Mkoani Dodoma leo Julai 3,2022.

MWENYEKITI wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti Mhe.Daniel Sillo,akiwa na wajumbe wake wakikagua  na kujionea maendeleo ya ujenzi wa Chuo cha VETA wilayani Bahi Mkoani Dodoma leo Julai 3,2022.

Mkuu wa Chuo cha VETA Dodoma Stanslaus Ntibara,akitoa taarifa ya ujenzi wakati wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti iliyofanya ziara ya kukagua  na kujionea maendeleo ya ujenzi wa Chuo cha VETA wilayani Bahi Mkoani Dodoma leo Julai 3,2022.

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omari Kipanga,akiiongoza Kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti iliyofanya ziara ya kukagua  na kujionea maendeleo ya ujenzi wa Chuo cha VETA wilayani Bahi Mkoani Dodoma leo Julai 3,2022.

MUONEKANO wa majengo yaliyopo katika ujenzi wa Chuo cha VETA wilayani Bahi.

MWENYEKITI wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti Mhe.Daniel Sillo,akizungumza mara baada ya kumaliza  ziara ya kukagua na kujionea maendeleo ya ujenzi wa Chuo cha VETA wilayani Bahi Mkoani Dodoma leo Julai 3,2022.

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Omary Kipanga,akiipongeza na kuishukuru  Kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti iliyofanya  ziara ya kukagua na kujionea maendeleo ya ujenzi wa Chuo cha VETA wilayani Bahi Mkoani Dodoma leo Julai 3,2022.

Mkuu wa Wilaya ya Bahi Mwanahamisi Munkunda,akitoa taarifa kwa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti iliyofanya  ziara ya kukagua na kujionea maendeleo ya ujenzi wa Chuo cha VETA wilayani Bahi Mkoani Dodoma leo Julai 3,2022.

SEHEMU ya Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti wakifatilia hoja mbalimbali wakati wa  ziara ya kukagua na kujionea maendeleo ya ujenzi wa Chuo cha VETA wilayani Bahi Mkoani Dodoma leo Julai 3,2022.

Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Kuduma ya Bajeti Mbunge wa Viti Maalum Subira Mgalu,akitoa ushauri wakati wa ziara ya kamati hiyo katika Mradi wa ujenzi wa Chuo cha Mamlaka ya Elimu na Mafunzo Stadi (VETA) wilayani Bahi mkoani Dodoma leo Julai 3,2022.

Mbunge wa Ole, Juma Hamad Omary,akitoa ushauri wa ujenzi  wa majengo mengine ya vyuo ikiwemo madarasa wakati wa ziara ya Kamati ya Bunge ya Bajeti katika Mradi wa ujenzi wa Chuo cha Mamlaka ya Elimu na Mafunzo Stadi (VETA) wilayani Bahi mkoani Dodoma leo Julai 3,2022.

Mkurugenzi wa Soko la Ajira, Mipango na Maendeleo wa VETA,Mhandisi George Sambali,akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya  Kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti kufanya ziara ya kukagua na kujionea maendeleo ya ujenzi wa Chuo cha VETA wilayani Bahi Mkoani Dodoma leo Julai 3,2022.

PICHA ZOTE NA ALEX SONNA

…………………………………

Na Alex Sonna-BAHI

KAMATI ya kudumu ya Bunge ya Bajeti imepongeza ujenzi wa Chuo cha VETA wilayani Bahi ambacho kinajengwa kupitia fedha za UVIKO-19 ikiwa ni jitihada za serikali za kuimarisha eneo la ufundi.

Akizungumza katika ziara ya kamati hiyo leo, Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Daniel Sillo, alisema Mkuu wa Wilaya ya Bahi pamoja na timu yake wamefanya kazi nzuri ya usimamizi na kuwataka waendelee kusimamia miradi ya serikali.

“Sisi kamati tunampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa maono makubwa aliyonayo juu ya taifa letu ikiwa ni pamoja na fedha zilizoelekezwa kwenye maeneo haya mahsusi hasa kubwa likiwa hili la ufundi, tunatarajia baada ya kukamilika vijana wetu watasoma na kupata ufundi  na kujiajiri,”amesema.

Amesema kamati hiyo ilipewa jukumu kwa niaba ya Bunge la kupanga matumizi ya fedha za UVIKO-19 ambazo Tanzania ilipata mkopo kutoka IMF na kwamba wanajivunia fedha hizo kuelekezwa kwenye maeneo muhimu ikiwamo ujenzi wa vyuo vya VETA.

Kwa upande wake, Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omari Kipanga, amesema Sh.Bilioni 20 kati ya Sh.Bilioni 64.9 zilizotolewa kwenye mgawanyo wa fedha za UVIKO-19, zilitengwa kwa ajili ya umaliziaji wa vyuo vya VETA 25.

“Sh.Bilioni 8.7 zilikuwa kwa ajili ya samani ambazo unaziona sasa na hata kule Kilindi tayari zimeshakwenda, lakini Sh. Bilioni 20 nyingine tuliipeleka kwa ajili ya kuanza ujenzi wa vyuo vya Mikoa katika Mikoa minne ambapo ipo Njombe, Rukwa, Simiyu na Geita,”amesema.

Amebainisha kuwa Sh.Bilioni moja imepelekwa Chuo cha Morogoro cha Ualimu kwa ajili ya walimu wa vyuo vya ufundi.

“Kulikuwa na bweni moja ambalo lina uwezo wa kuchukua wanafunzi 80 lilikuwa bado halijaisha tukasema tulimalize ili kuongeza udahili wa masuala ya ufundi, na Sh.Bilioni 6.8 zimepekekwa kwa ajili ya Vyuo vyetu vya FDC, ambapo tuna FDC 54 Tanzania nzima na kulikuwa hakuna vifaa tukasema tupeleke vifaa vya kujifunzia na kufundishia,”amesema.

Kipanga amesema fedha nyingine imepelekwa kwa watu wenye ulemavu kwa kununua vifaa mbalimbali ikiwamo vya kujifunzia.

Kuhusu chuo hicho cha Bahi, amesema zilipelekwa Sh.Milioni 695 ambazo hazitoshi kugharamia kazi za nje , kuingiza umeme, maji  na kutengeneza barabara za kuingia chuoni hapo.

“Chuo tunatarajia kikamilike Mwezi wa Oktoba hadi Novemba mwaka huu ili kianze kudahili na ifikapo Januari mwakani vyuo vyote 25 vianze kutoa elimu ya ufundi kutokana na kuwapo kwa mahitaji makubwa ya elimu hiyo,”amesema.

Naye Mbunge wa Ole, Juma Hamad Omary ameshauri ujenzi wa majengo mengine ya vyuo ikiwemo madarasa kuwekwa tarazo badala ya tiles ili kuyawezesha kudumu kwa muda mrefu.

Awali, Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa VETA, Mhandisi George Sambali amesema chuo kitakapokamilika kitatoa kozi za muda mfupi kwa miezi sita hadi 12 ambazo ni pamoja na udereva na ushonaji.

About the author

Alex Sonna