Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wakati alipowasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam kuhitimisha maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupinga Matumizi ya Dawa za Kulevya Duniani yaliyofanyika kitaifa kwenye viwanja hivyo , Julai 2, 2022. Kutoka kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makala, Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, Kamishina Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya, Gerald Kusaya, Mbunge wa Viti Maalum, Fatuma Tawfiq na wa tatu kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es salaam, Hassan Rugwa.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya kupinga Matumizi ya Dawa za Kulevya Duniani yaliyofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Mnanzi Mmoja jijini Dar es salaam.
Kamishina Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya, Gerald Kusaya akizungumza mbele ya mgeni rasmi, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupinga Matumizi ya Dawa za Kulevya Duniani yaliyofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Mnanzi Mmoja jijini Dar es salaam,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya kupinga Matumizi ya Dawa za Kulevya Duniani yaliyofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Mnanzi Mmoja jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha nakala ya kitabu cha Riwaya kiitwacho Punje ya Tumaini iliyotungwa na Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Elizabeth Mramba (kushoto) katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani Kwenye Viwanja Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam, Julai 2, 2022. Katikati ni Kamishina Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya, Gerald Kusaya, kwenye viwanja viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipozindua kitabu cha Riwaya kiitwacho Punje ya Tumaini iliyotungwa na Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Elizabeth Mramba (kushoto) katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani Kwenye Viwanja Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam, Julai 2, 2022. Katikati ni Kamishina Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya, Gerald Kusaya, kwenye viwanja viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Elizabeth Mramba (kushoto) kuhusu kitabu cha Riwaya kiitwacho Punje ya Tumaini katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani kwenye Viwanja Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Kamishina Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya, Gerald Kusaya (wa pili kushoto) wakati alipotembelea banda la Taasisi ya Walter Reed Army Institute of Research (WRAIR) katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupinga Matumizi ya Dawa za Kulevya Duniani yaliyofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Mnanzi Mmoja jijini Dar es salaam
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)