KLABU ya Simba imemtambulisha rasmi Mserbia, Zoran Manojlovic kuwa kocha wake mpya Mkuu, akichukua nafasi ya Mspaniola, Pablo Franco Martin aliyefukuzwa mapema mwezi huu.
“Kwa furaha kubwa tunapenda kumtangaza kocha wa makombe, Zoran Manojlovic kuwa Kocha Mkuu wa timu yetu,” imesema taarifa ya Simba SC leo.
WASIFU WA ZORAN MANOJLOVIC | |||
---|---|---|---|
Kuzaliwa | 21 July 1962[1] | ||
KLABU ALIZOFUNDISHA | |||
Klabu ya sasa | Simba (Kocha Mkuu) | ||
KLABU ZA AWALI | |||
Mwaka | Timu | ||
2017–2019 | Primeiro de Agosto (Angola) | ||
2019–2020 | Wydad AC (Morocco $ | ||
2020–2021 | Al-Hilal (Sudán) | ||
2021 | CR Belouizdad (Algeria) | ||
2021 | Al-Tai (Saudi Arabia) | ||
2022– | Simba SC (Tanzania) |