Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ATETA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA ACT WAZELENDO

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo katika utaratibu wake wa kawaida wa kukutana na Vyama vya Siasa Nchini tarehe 28 Juni 2022 Ikulu Jinini Dar Es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Picha ya pamoja na Viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo baada ya mazungumzo yao katika utaratibu wake wa kawaida wa kukutana na Vyama vya Siasa Nchini tarehe 28 Juni 2022 Ikulu Jinini Dar Es Salaam.

About the author

mzalendoeditor